Dawa ya wachepukaji hiyo

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,455
Someni wenyewe tangazo hilo
 
Attachments

  • 1456396465045.jpg
    1456396465045.jpg
    43.5 KB · Views: 178
Duh..mbona kwa hasira hivyo?usikute doctor mkuu wa hiyo hospital ni mwanamke halafu mmewe ni kicheche kaona arahisishe kuwakamata wabaya wake.
 
Huyo daktari anataka kuiua hospital yake, atakosa wateja...ye anataka pesa ama anataka kujua mwenye mtoto?
 
Duh..mbona kwa hasira hivyo?usikute doctor mkuu wa hiyo hospital ni mwanamke halafu mmewe ni kicheche kaona arahisishe kuwakamata wabaya wake.
Mkuu mawazo yako hatari...Mimi nadhani wanafanya ivyo kuwabana wanaume waongozane clinic na wake zao,angalau nao wakapate ushauri kidogo juu ya malezi ya mimba,lishe ya mama,n.k!!Maana sio watu wote ni waelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom