Uhalisia wa majina ya wanaJF

Hamadi Mmari

Member
Feb 25, 2016
16
8
Hivi sijaelewa, kila member wa JF ninae muona humu ndani anatumia jina ambalo si halisi, sasa sijui ni ni terms and conditions za JF kuchit? Nawasilisha hoja...
 
Its a disguise, ili watu wawe free kucomment, kuomba ushauri na kushare then its better wawe in disguise na wasijuane. Its better this way.
 
Hata wewe mleta mada inawezekana jina ulilotumia sio lako,tutaamini vipi kama ni jina lako kama hukutuwekea details zako kama cheti cha kuzaliwa etc,maana umetafiti ila bado hujajitafitisha mwenyewe.
 
We umeona hilo la kutokua halisi, mie nnachoka na ubaya wa majina yenyewe! Yaani mtu anajitungia jina ndio atumie halifai halifai!
 
Hivi sijaelewa, kila member wa JF ninae muona humu ndani anatumia jina ambalo si halisi, sasa sijui ni ni terms and conditions za JF kuchit? Nawasilisha hoja...
Si kweli kwamba kila Member anatumia jina lisilo halisi lakini pia kutumia jina lisilo la kweli unakuwa huru kuchangia. Wengine ni wafanyakazi sehemu ambazo wasingependa wajulikane.
 
Back
Top Bottom