Makonda: Walimu kusafiri bure

Makonda: Walimu kusafiri bure

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.

Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa Rais mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa ana majukumu mengi hasa ya kumsaidia mheshimiwa Rais.

Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.
WAingereza wana kamsemo kanachosema hivi "There is no such thing as a free lunch", yaani hakuna kitu kama chakula cha bure. Lazima awepo mtu anayelipia. Kwa mtazamo wa Makonda nadhani anataka wamuliki wa daladala ndo wawalipie walimu.
 
Vipi n.a. ma Dr na manesi?
Baadaye wahasibu
Arc watataka wasafiri bure dawa kuongeza mishahara ya walimu iwe minono sio kuwapa isafiri wa masimango bure
 
Makonda mbunifu, tumpe mda kabla yakuponda
wewe chizi nini? angesema walimu atawapa pesa zake au serikali itawapa pesa walimu ili wajilipie daladala, kwani amewasiliana na wamiliki wa daladala? haoni asikali wanavyotaabika ,bila kutumia nguvu wasingepanda.
 
Nilicheka sana juzi pale sinza kwenye kiwanda cha kuzalisha nywere za urembo wa kinamama, alikuja na kujitutumia kumaliza mgomo wakati wamiliki tayari walikuwa wameshafikia muafaka mzuri kwa wafanyakazi wao.

So alipotutangazia wafanyakazi nilidhani yeye ndiyo kasababisha tulipwe nyongeza iliyoongezwa kumbe yeye alitumia nafasi ya "office delay" kutangaza "kuanzia kesho (yaani leo) tutakuwa tunapokea malipo mapya".

Just a kick of lifting ila si yeye!!
 
Mdudu unatukana kwakuwa uwezo wako wakuelewa ni mdogo, nikwamba kilichoandikwa na mtoa taarifa nikwamba, yupo kwenye mpango wakuwezesha walimu kusafiri bure, sasa kwavipi atatimiza Mimi na wewe hatujui. Tumpe mda na tuondokane na ufinyu na uvivu wakufikiri kwakuelewa kwanza kilichoandikwa.
 
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.

Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa Rais mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa ana majukumu mengi hasa ya kumsaidia mheshimiwa Rais.

Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.
I dont know kwa kweli but labda he has a good idea, but kuwatambua itakuwa very changamoto
 
Lamsingi hapo ni watumishi wengine watajisikiaje.Hayo mengine siyo issue.Wale vijana wa zamani nadhani wanakumbuka "warrant system" ambayo sina shaka ilikufa kwa sababu ya ufisadi.Hii ifufuliwe kwa wanafunzi na wafanyakazi wote wa serikali kama ilivyokuwa zamani,sio kwa waalimu tu.Itaondoa madili ya hela za nauli za likizo za wafanyakazi.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.

Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa Rais mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa ana majukumu mengi hasa ya kumsaidia mheshimiwa Rais.

Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.
 
Wazo fupi hilo.wazo sahihi aonge na Kubenea apeleke hoja binafsi bungeni waalimu wa Dar wapewe allowance ya usafiri .shilingi elfu 40 kwa mwezi.kwa waalimu wote watakao hudumu ndani ya Dar .
 
Mi naona kuwe kuna bus special imekodiwa inakua kituoni morning...kwa ajili ya walim iwe nchi nzima itasaidia to some extent.
 
Kuna watu mnaishi kwakukariri kupondea kila kitu
UKWELI Lazima Usemwe Tu, Hata Kama Utakuwa Mchungu Kwenu!!! NAWE Umekaririshwa Kukubali Na Kuamini Kila Jambo, Hata Ilikuwa La HOVYO, UONGO, UPUUZI Na KUSADIKIKA!!!!! HAYA Subirini Mje Kuona WAALIMU Wakisafirishwa Bure!!!!!
 
serikali iboreshe maslahi ya walimu fullstop
 
hivi dunia ya leo bado kuna bule huu ni utani. Gari ina bima, leseni na kila kitu dah.
 
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.

Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa Rais mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa ana majukumu mengi hasa ya kumsaidia mheshimiwa Rais.

Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.
Wazo potofu. Msaidie mwalimu kupitia payslip yake!
 
Manesi Je walipe wasilipe?
Na wanafunzi Je Walipe wasilipe?
Wazee Je Walipe wasilipe
Wanajeshi Je Walipe wasilipe?
Mapolisi Je walipe wasilipe?
Mapadri, Mashehe, Wachungaji Je? Walipe wasilipe.

Makonda huwa anakurupuka Kutafuta sifa na Umaarufu wa dakika 15. Hivi Inanifanya Niamini Wamama wanavyo tainia Kuwa Wanaume Wengine wanafikiria na yale maninii mawili ya Kwa Mongusuthu Butelezi, Kwa Makonda huu bahati mbaya sii Utani Njia ya Kupunguza Ukali wa Maisha Ni Kujenga Uchumi Utakaowezesha Kuwalipa Waalimu, Manesi,Polisi,Wanajeshi, nk Mishahara inayoendana na gharama za Maisha. Kama Ni Muhimu Kumlipa Waziri, Mbunge, Rais etc Kwa Kigezo hich Basi Lengo La Taifa Liwe ni Kuwa Inapokuwa katika Mahitaji ya Maisha au Umuhimu wa Utumishi wa Uma, Mshahara Bora kwa Mwalimu Ni Bora mara Kumi Kuliko Mishahara ya Watu aina ya Makonda. I mean seriously who will Miss Mkuu wa Wilaya! Hala bahati mbaya awe wa aina ya Kunguni
 
Mi nasubiri hiyo siku askari wakianza kulipa nauli.sjui konda ntaanzaje kudai.
 
Solution ni kuwaongezea mshahara tu na kulipa malimbikizo yao...hizo zingine ni kelele tu...au mazingaombwe
 
Back
Top Bottom