Recent content by halifa saidi

  1. H

    JamiiForums Tanzania As vita + Tp Mazembe + Yanga

    Mwinyi Zahera kashapasuka huko na Congo yake hakuna cha Matambi wala makoronya
  2. H

    JamiiForums Tanzania Siasa za" Mohamed Said" ni za kusimuliwa na upotoshaji

    Ni wivu tu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Net budget TSH 10 Million. Je, naweza agiza na kumiliki IST kutoka nje?

    Hahahaaaaaaa. Nimemkumbuka Mkuu wa Mkoa bwana Makonda
  4. H

    JamiiForums Tanzania Pierre Liquid afanye hiki ili aweze kuoffer vitu vingi tofauti na slogan yake ya "utabaki kileleni"

    Ati nini "AMBA LOLO" Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mechi hii sio ya kukosa

    Mechi hiyo itachezwa lini na saa ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    JamiiForums Tanzania KBC mubashara Confederation cup

    Livestream nenda Google play install startimes ucheki live bila chenga. Second half ishaanza sasa
  7. H

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Shukran kaka kwa thread yenye kutoa mwanga kwa ndugu zako wa Tanzania. Tukiwa na moyo ulionao kwa hakika tutafika mbali. TEAM (T-ogether E-veryone A-chieve M-ore)
  8. H

    JamiiForums Tanzania David Kafulila amtaka RC Makonda kuonesha vyeti

    Hata Luhende aliesemekana anafanya kazi kama Manager wa Hotel Sinza alivyoteuliwa na Raisi kuwa Mkurugenzi alionesha vyeti vyake kukanusha kuwa yeye sie huyo Manager wa Hotel Sinza tena Raisi alimwambia waoneshe Masters yako waione. Sasa mbona kwa huyu inakuwa ngumu kuonesha kuna nini hapa.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Makonda aenda likizo Afrika Kusini kwa zaidi ya miezi miwili

    Mbona Luhende aliyesemekana ni manager wa Hotel Magufuli alimwamuru aoneshe vyeti vyake alivyomteua kuwa Mkurugenzi. Mbona kwa huyu inakuwa ngumu? Hapa kuna jambo tu.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nkem Owoh (Osuofia)

    Anakupanga mpaka uingie mjini
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nkem Owoh (Osuofia)

    Halafu ni tapeli wa kupindukia
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kiendeleacho Kigamboni new city

    Yule mama Tibaijuka kashachukua mgao wake kawaacha watu solemba.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    .....Atakuwa amejifunza tu...kwamba Tanzania...hasa Dar es salaam hakuhitaji sana kiherehere....Waliofika Dar wakati kibao cha 'KARIBU DAR ES SALAAM' kipo Magomeni wanalielewa hili jambo....
Back
Top Bottom