David Kafulila amtaka RC Makonda kuonesha vyeti

Bado sioni tatizo hapo, social media bado imekua ni quick and reliable source of information ambapo hata serikali yenyewe inatupa jicho hapo ref: (issue ya mwl Msigwa kumpiga mwanafunzi kule Mbeya).

Sasa Bwana kafulila kweli kafulia. Mbunge kabisa anasema kiongozi wa serikali aje insta au jf kuonyesha vyeti. Du. Hii kali. Siasa is really a dirty game. Angeenda yeye Necta kureport au mahakamani nk. Lakini kuja mitandaoni. Mhhhh. Sio kosa lake ni akili zake nyingi kujua wtz wengi ni tunatumika bila kujua tunaowatumkia wanapiga cheers kila siku.
 
Huyu tumbilu nae siku hizi amekua na stress za kulea, watoto nyumbani

Make, yupo bite na uduma ya, kibunge
 
Huyu nae alisahaulika, kaamua kutaguta kiki kupitia Kiongozi mpendwa na jembe la Taifa Mh. Makonda.

Si ea upinzani huyu au? Kweli watu wenye vituko hawaishi nchini. Tamaa na wivu imemjaa na uvivu wa kutaguta njia kujijengea jina, hahahaaaaaaaaa sad

Makonda oyeeeee
 
Huyu nae alisahaulika, kaamua kutaguta kiki kupitia Kiongozi mpendwa na jembe la Taifa Mh. Makonda.

Si ea upinzani huyu au? Kweli watu wenye vituko hawaishi nchini. Tamaa na wivu imemjaa na uvivu wa kutaguta njia kujijengea jina, hahahaaaaaaaaa sad

Makonda oyeeeee
Unyani ni unyani tu
 
Yy ngoja awe na Martenity Leave huko South Africa ya miezi 3.

Siku ya kurudi utatukuta AIR PORT na Prof. Ndalichako, NECTA, NACTE, FISHERIES MWZ, MBEGANI, IMMIGRATION, MUCCOBS na Mabango yetu. Na siku hiyo utalala CELLO.

Kwanza umegushi PASSPORT na VIZA.
 
The Truth about BASHITE SCANDAL is very simple
He supposed to show out (give out his academic certificate) instead of stay quite.
Hili swala halima chama wala ukada ni swala ambalo hata mkuu alitamka kuwaondoa wanaotumia vyeti feki makazini
Kuwa ccm, chadema hakufanyi kutetea ishu ya makonda kwa namna yeyote ile.
Yeye ni kiongozi mkuu wa mkoa wa dar es salaam anaongoza watu wenye different academic qualification e.g
Engeeners
PhD
Diploma holder
Masters holder
Certificate holder
Hata form four leavers
Swala la kumtetea halina mashiko.
We need only certificate finish
 
P-Makonda-3.png
..
P-makonda-2.png
 
Hata Luhende aliesemekana anafanya kazi kama Manager wa Hotel Sinza alivyoteuliwa na Raisi kuwa Mkurugenzi alionesha vyeti vyake kukanusha kuwa yeye sie huyo Manager wa Hotel Sinza tena Raisi alimwambia waoneshe Masters yako waione. Sasa mbona kwa huyu inakuwa ngumu kuonesha kuna nini hapa.
 
Kuna ndugu yake alihamia siku nyingi SA huenda ndiyo kaenda kuvichukua akirudi huko nina hakika jibu litapatikana kiusahihi
 
Hata kama ni mimi ndie ningekua mkuu wa nchi ndugu yangu hata kama ajasoma nampa madaraka makubwa acheni kulalama ovyo ulaji nikupeana tu mtu baki hata kama amesoma hapat kitu wanyumbani kwanza.
 
Yaani, hii thread nashindwa hata niandike nini!?

Maana, kafulila, ameisha fulia kama jina lake likinyambulishwa.

Kweli, serikali imesimama?
Aisee, Kweli siasa haina heshima.
 
vyeti vya nini, kwani anaomba kazi? mkuu endeleza operesheni wala usiwasikilize hawa jamaa
 
Mpaka sasa Hakuna aliefanikiwa kupata Picha ya aliebiwa cheti Ila alieba cheti taarifa zote tumepata.

Imekuaje tumekosa walau kapicha ka Makonda Original Pamoja na utandawazi na mitandao yote tuliyonayo, tunaishia kusema anatangaza Radio Fulani Tabora

Mie nimejifunza Kitu kwny Kashfa ya Richmond tulimsakama sana Mtu Fulani Tena Vipeperushi Makini vikatuambia Mpaka Ushahidi wa Documents wanao, wakahoji Mbona Mtuhumiwa hajakanusha?

Miaka nane Baadae ukaja Wimbo kuwa tulimsingizia Kimakosa na taarifa zile za Ufisadi ilikuwa Vita ya ndani kwa ndani ya Chama chake!!
Kama hujaiona picha ya Paulo original basi wewe sio mtumiaji wa mitandao ya kijamii.
 
ba305e54a284f7ed251047435d81eb95.jpg

Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ameibuka na kuongea mambo matano kuhusiana na sakata la vyeti feki linalomuandamana Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.Kafulila amesema yafuatayo;


"Kwanza ni ushauri wangu kwamba Makonda amsaidie Rais ama kwa kuonesha vyeti vyake vyote kuondoa utata au ajizulu ili serikali iendelee na mambo mengine.

"Obama alipotuhumiwa kuhusu uraia wake USA alifanya kazi ndogo tu ya kuweka vyeti vyake vyote hadharani na akawa amefunga utata wa uraia wake. hivyo ni vema Makonda afanye hivyo kama anavyo au akae pembeni kwani nchi ni muhimu kuliko mahusiano yake na Rais.


"Rais anapaswa kujua kuwa hoja ya jinai ya kughushi vyeti inayopigiwa kelele inahusu pia umakini wa mamlaka yake kama mteuzi wa Makonda kwamba kuna shida ya vetting. hivyo kuondoa hilo ni kuchukua hatua stahiki. hakuna namna Rais atamlinda Makonda na akabaki na sifa ya kuwa Rais anaesimamia haki na Usawa. Itafanya aonekane kama waliomizwa na ukali wake katika kusimamia sheria ni kwasababu hawakuwa na ukaribu nae na zaidi itafanya aonekane Rais wa kawaida sana kwa kulinda uovu kwa sababu za binafsi.Hivyo ukimya wa Rais unafanya dhamira yake ya uzalendo ihojike kwani sio kawaida yake.


"Mamlaka kama Sekretariet ya Maadili ya Uongozi ilipaswa kuwa imeshachukua hatua kuondoa wingu hili kwani kinachojadiliwa hapa mbali zaidi ya jinai pia kinahusu uadilifu wa Kiongozi(intergrity). ukimya wa taasisi hii ni mfano mbaya wa namna taasisi zinavopigwa ganzi pindi haki inapotakiwa kutendeka lakini inagusa maslahi ya Rais. huu ni uzoefu niliopata kuona hata kwenye sakata la Escrow.likitokea jambo ambalo Rais ana maslahi taasisi zetu zimekuwa nzito na kigugumizi kuchukua hatua ipasavyo.


"Chuo cha Uvuvi walichomsajili kwa cheti cha form4 ambacho anatuhumiwa kuwa sio chake pamoja na Chuo Kikuu ni taasisi ambazo mjadala huu unahusu heshima ya taasisi hizo. hivyo ilipaswa zijitokeze kuthibitisha au kukanusha. ukimya wao unaashiria hofu yao kwasababu kaguswa mtoto wa mfalme! Huu ni mfano mbaya kabisa kwa taasisi za taaluma kwamba zinaweza kuwa za hovyo kiasi hiki.


"Kibaya zaidi ni ukimya wa NECTA ambao ni mamlaka ya kutoa vyeti. sasa cheti kinachosumbua hapa ni cha form4 ambacho ni mali yao. lakn kwa woga wamekaa kimya kuficha ukweli na kuacha mjadala wa cheti uwe kati ya Askofu na RC na watanzania wakati wao ambao ni mamlaka sahihi kuondoa utata wamekaa kimya kwa hofu ya kugusa mtoto wa mfalme.. Hili ni fundisho la kwani nchi hii haiendelei kwasababu taasisi hizi haziko imara kutimiza majukumu yake kisheria bali zinafanya majukumu yake kwa kadiri ya mapenzi ya mteule wao."
 
Back
Top Bottom