pole sana, hata dada yangu yalishamkuta, kariakoo mitaa ya ndani ndani kule, wabaya sana wanajua kabisa ni uongo lakini watu wanashupalia umpeleke hosp. ilibidi amtoe na kitu kidogo. shida bana
mmh naogopa! usalama wa taifa wanakazi nzito hapo, labda waliwekewa madawa ya kulevya au nusu kaputi, haiingi akilini hata kidogo. kwa hili TZ tumelala mlango wazi, mweeeee.
hapo kwenye red mi huwa najiuliza hilo swali kila siku nikisikia kuhusu hizo pikipiki, na je siku za mvua zitaweza kutumika kweli? si ndio mwanzo wa kuwaangusha wamama wa watu kwenye matope jamani.
1. "akili zake achanganye na za viongozi waadilifu walioko chini yake, aachane na za mbayuwayu".
2. Achukue ushauri wowote mzuri aufanyie kazi hata kama unatoka kwa wapinzani wake
3. Akiona moshi ajue kuna moto na dalili ya mvua ni mawingu, ajipange sawa sawa, asome alama za nyakati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.