Watanzania wanapenda BODABODA-JK

rimbocho

Member
Jan 11, 2010
73
3
hivi majuzi rais wetu alisema eti watanzania wanapenda sana bodaboda.
swali langu ni hili>
Hivi kweli raisi wa nchi hajui kwanini watanzania wanatumia usafiri wa bodaboda?
hivi ndio sababu iliyopelekea rais kununua bodaboda kwa ajili ya usafiri wa wagonjwa?
mpaka sasa bodaboda zinaongoza kwa vifo vya watanzania wengi kila siku je hili rais halioni?
 
kesha ukiomba kama mimi kila siku ili huyu mtu walau akake nje ya nchi kwa mwaka mmoja tu ili tupumue kidogo, maana akiwa hapa nchini kila wiki lazima achafue hali ya hewa. hasa akialikwa kwenye matamasha.
 
hivi majuzi rais wetu alisema eti watanzania wanapenda sana bodaboda.
swali langu ni hili>
Hivi kweli raisi wa nchi hajui kwanini watanzania wanatumia usafiri wa bodaboda?
hivi ndio sababu iliyopelekea rais kununua bodaboda kwa ajili ya usafiri wa wagonjwa?
mpaka sasa bodaboda zinaongoza kwa vifo vya watanzania wengi kila siku je hili rais halioni?

Jamaa acha kuchakachua takwimu. Nakubaliana na wewe kwamba watanzania wanatumia bodaboda kwa sababu ya matatizo ya usafiri na ubovu/ukosefu wa miundombinu. Lakini exaggeration bila facts siyo sahihi.
 
hivi majuzi rais wetu alisema eti watanzania wanapenda sana bodaboda.
swali langu ni hili>
Hivi kweli raisi wa nchi hajui kwanini watanzania wanatumia usafiri wa bodaboda?
hivi ndio sababu iliyopelekea rais kununua bodaboda kwa ajili ya usafiri wa wagonjwa?
mpaka sasa bodaboda zinaongoza kwa vifo vya watanzania wengi kila siku je hili rais halioni?

Mawaziri nao wanunuliwe za cc 500 kwenda officini.:confused2:
 
To be honesty huyu raisi ni mropokaji sana maana muda mwingine huwa anaongea maneno yenye maudhi kuliko hata Tambwe Hizza, mfano Kuchimba mabwawa ya samaki kwa wamasai wakati eneo lile lina ukame wa kutisha, mifugo ma mia kwa mia huwa inakufa kwa kiu ya maji na ukame
Sijui huwa anafanya makusudi au kiburi au ndio tabia za Kikwere?
 
hivi majuzi rais wetu alisema eti watanzania wanapenda sana bodaboda.
swali langu ni hili>
Hivi kweli raisi wa nchi hajui kwanini watanzania wanatumia usafiri wa bodaboda?
hivi ndio sababu iliyopelekea rais kununua bodaboda kwa ajili ya usafiri wa wagonjwa?
mpaka sasa bodaboda zinaongoza kwa vifo vya watanzania wengi kila siku je hili rais halioni?

nikweli lakini. ivi ni kona gani au kijiji gani umeenda hujakuta bodaboda? ila siyo kwamba wanaupenda sana ila mazingira yamewalazimisha kuupenda. kwani hawawezi nunua magari na wakati miundombinu hakuna. kwahiyo ni shinda ndizo zimewafanya wawe hivo, pia uchumi mbovu kwetu watanzania ndio maana wachina wamejaza pikipiki.
kwahiyo serikali imeamua kuleta pikipiki za kubebea wagonjwa akina mama wajawazito kwa vile akina mama hao wanapenda kupanda pikipiki? mwambie ni shida. kamwambie kama tunapenda watanzania na yeye ni mtanzania basi gari zote za ikulu ziuzwe wanunue bodaboda na wao.
 
Jamani ukomo wake wa kufikiri zaidi ya anachoambiwa unakuwa umefika mwisho, ndio maana huwa anaropoka hovyo au hata kusema jambo ambalo hajafanyia utafiti wa kutosha, anyways tunahesabu miaka yake ya utawala wa kijinga na maumivu ili akitoka asikumbukwe kwa lolote.
 
Huwa sipendi kuangalia hotuba zake maana hukawii kuvunja kijitv changu cha kichina maana hukawii kurusha stuli kwa hasira!
 
Anahitaji neuropyscologist aweze kumsaidia vinginevyo kuna siku atasema watanzania wanapenda mwanga wa vibatari na mishumaa kuliko wa bulb za umeme
 
Wamekomaa na suala la ambulance za pikipiki hadi mkulo kaziondolea kodi.swali la kujiuliza ni kuwa bajaj na mjazito katika barabara gani? Na nafasi ipi ya kumpa muuguzi anayemhudumia? Tuwe realistic na uhalisia wa mazingira yetu
 
hapo kwenye red mi huwa najiuliza hilo swali kila siku nikisikia kuhusu hizo pikipiki, na je siku za mvua zitaweza kutumika kweli? si ndio mwanzo wa kuwaangusha wamama wa watu kwenye matope jamani.
 
Ninawasikitikia watu wanaokaa mbali na hospitali kama matombo na kinole huko MORO na wao wanafurahia bodaboda. Kwa sababu ukiugua huko kwanza lazima upingwa kwenye kitanda cha kamba na mchakamchaka kwanza. Hapo ni bodaboda inatafutwa mwanangu.
 
Guyz sometyms inaniwia vigumu kuamini kama Raisi JK huwa anaongea hizi PUmba, mi nahisi kuna uchakachuaji flani, haiwezekani raisi awe ni mtu wa kuongea nonsense kila kukicha. I ril don' blv it. Jamn rais gani anaongea vitu ambavyo hata mtoto mdogo anajua ain' kwa order? May b hadi nije nimsikie kwa masikio yangu.., If t's tru, then he's too much beyond th normal line..!!:A S 103:
 
Mbona hata yeye anapenda jamani? Tuache kumuonea WIVU Raisi wetu!!!!!!!
Na yeye si kapanda hii hapa? huwa anaitumia kuendea Msata kila weekend!

attachment.php

kikwete+china+2.jpg
 
Attachments

  • Kikwete avunja record 14.doc
    27.5 KB · Views: 49
Back
Top Bottom