Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 747
Ukweli EL ameshika mpini na wao makali, hamshangai kwanini anamwambia Msekwa nilijiuzulu uwaziri mkuu kwaajili ya kunusuru chama na serikali, yeye kama waziri mkuu asingejiuzulu kwasababu ya makamu mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote wa ccm ila mwenyekiti na pia asingejiuzulu kwasababu ya waziri wa nishati au mwingine yeyote ila mkuu wa kaya - kwa utashi wangu hiyo ndio tafsiri sahihi sasa hawa jamaa wa ikulu sijui wamelisoma hili gazeti? Kama ndivyo tunasubiri walitolee ufafanuzi au kukanusha
Watakanusha kwa kulifungia,kuwa linaleta/chafua hali ya hewa kwenye GAMBA jipyaaaaaa!!!