Habari ya saiz wana jamii.
ninaomba msaada wa kisheria katika hili.
je HELSB ACT imetoa maelezo yoyote kuhusu mda ambao mtu anapoajiliwa anatakiwa aanze kulipa marejesho.
1. je ni kwamba ni lazima pale unapoaajiliwa tu uanze kulipa au
2. kuna grace period yeyote ambayo HELSB Act imetoa...
Habari ya saiz wana jamii.
ninaomba msaada wa kisheria katika hili.
je HELSB ACT imetoa maelezo yoyote kuhusu mda ambao mtu anapoajiliwa anatakiwa aanze kulipa marejesho.
1. je ni kwamba ni lazima pale unapoaajiliwa tu uanze kulipa au
2. kuna grace period yeyote ambayo HELSB Act imetoa pale...
iv sisi wabongo nani katuloga. yaani kila kitu tunataka tuulize tu. iv mtu mwenye plan za kusomaa kweli anashindwa kuchukua mda wake kidogo kwa mb alizozitumia kutype apa. aingie TCU aangalie requirement. kuna vitu vya kuuliza sio hiv aise
any way kwa waliograduate 2014 na 2015. vigezo vyao ni...
Nauliza katika kuaaply huwa wanatoa vigezo vya ufauru katika kuaaply, vipi lmwaka huu sivioni, na kama vipo tafadhari naomba mwenye navo anipm nimpe namba yangu anirushie hata watsup
Nauliza katika kuaaply huwa wanatoa vigezo vya ufauru katika kuaaply, vipi lmwaka huu sivioni, na kama vipo tafadhari naomba mwenye navo anipm nimpe namba yangu anirushie hata watsup
Samahani.
Ukiachana na hii rate ya sasa hivi ambayo ni 30% iliyowekwa mwaka jan kutoka 25%. Ningependa kujua kama kuna mtu anajua ni rate ipi ilitumika kulipia import duties kwa metal kuanzia miaka ya 2009 kurudi nyuma mpaka miaka ya 2005.
Au kama kuna document inaweza ikanipa majibu kuhusu...
Samahani,
Ukiachana na hii rate ya saivi ambayo ni 30% iliyowekwa mwaka Jan kutoka 25%. Ningependa kujua kama kuna mtu anajua ni rate ipi ilitumika kulipia import duties kwa metal kuanzia miaka ya 2009 kurudi nyuma mpaka miaka ya 2005 au kama kuna document inaweza ikanipa majibu kuhusu hili...
Unajua mitandaoni watu huwa wanaandika ti , mfano nasoma udsm, au ifm but ukweli inakuwa sio hivo, nikahis uyu atakuwa kaandika ivo but si mwanafunzi wa chuo mtarajiwa. But ukweli ndo huo kuwa ni mwanafunzi mtarajiwa wa chuo kikuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.