Waombaji na Wazofu wa CAS tukutane hapa, tupeane maujuzi ya kukabiliana na changamoto za ku-apply.

UZZIMMA

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
410
477
Naam. Katika kudahili kupitia CAS kunaibuka matatizo na changamoto mbalimbali.

Kwanini uteseke na hali kuna wataalamu na wazofu wengi humu?

Na kabla hujauliza tatizo lako, ni vyema kwanza ungepitia comment za wadau, kwani huenda tatizo lako lilishapatiwa ufumbuzi, au yupo anayesubiria jibu la swali kama lako.

Karibuni wazoefu na wenye matatizo katika CAS.
Key: CAS= Central Admistration System.
 
Nauliza katika kuaaply huwa wanatoa vigezo vya ufauru katika kuaaply, vipi lmwaka huu sivioni, na kama vipo tafadhari naomba mwenye navo anipm nimpe namba yangu anirushie hata watsup
 
Nauliza katika kuaaply huwa wanatoa vigezo vya ufauru katika kuaaply, vipi lmwaka huu sivioni, na kama vipo tafadhari naomba mwenye navo anipm nimpe namba yangu anirushie hata watsup
Bado hawajatoa Guide Book
Screenshot_20170516-113830.png
 
Back
Top Bottom