Msaada wa chuo wakubwa

abdutalib

Member
Jun 3, 2017
10
3
Nin div 3
English c
Kiswahil c
Math f
Engineering science d
E.engineering d
Elec science d
Elec drafting c
Elect installation d
Chemistry d
Civics d
Ni chuogn cha ufund nitachokupata
 
Upo mkoa gani? Kama upo dar unaweza kwenda DIT, UDSM au Veta hapo wata kupa majibu sahihi kama una sifa ya kujiunga au la.
Vilevile tembelea website za vyuo vya ufundi nchini utapata number za kuwasiliana na vyuo moja kwa moja.
 
Nin div 3
English c
Kiswahil c
Math f
Engineering science d
E.engineering d
Elec science d
Elec drafting c
Elect installation d
Chemistry d
Civics d
Ni chuogn cha ufund nitachokupata
Hiki kitana cha maths kimekuharibia kupata Dit katafute guidebook uagalie vyuo na course japo ya mwaka jana utapata kujua ni vyuo gan wanatoa vigezo utawauliza wenyew chuo mwaka huu wamepngaje
 
Upo mkoa gani? Kama upo dar unaweza kwenda DIT, UDSM au Veta hapo wata kupa majibu sahihi kama una sifa ya kujiunga au la.
Vilevile tembelea website za vyuo vya ufundi nchini utapata number za kuwasiliana na vyuo moja kwa moja.
Nipo zanzibar
Nin div 3
English c
Kiswahil c
Math f
Engineering science d
E.engineering d
Elec science d
Elec drafting c
Elect installation d
Chemistry d
Civics d
Ni chuogn cha ufund nitachokupata
 
Upo mkoa gani? Kama upo dar unaweza kwenda DIT, UDSM au Veta hapo wata kupa majibu sahihi kama una sifa ya kujiunga au la.
Vilevile tembelea website za vyuo vya ufundi nchini utapata number za kuwasiliana na vyuo moja kwa moja.
Unawez kunisaidia jins yakupata hizo no ktk website zao coz nimeangalia tyr but sikuzifaham
 
0222150174 hiyo ni number ya DIT....ukitaka kupata number nenda kwenye website sehemu imeandikwa contact us.
 
Back
Top Bottom