For Geniuses Only Part 2: Hawa watoto wapo wangapi kwa ujumla wao?

For Geniuses Only Part 2: Hawa watoto wapo wangapi kwa ujumla wao?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
17,306
Reaction score
19,880
Ndugu zangu, habari za wakati huu na poleni sana kwa majukumu?

Hao watoto hapo chini wapo wangapi kwa ujumla kulingana na uwezo wako wa kupambanua challenges?

IMG_20170803_064911.jpg


Ninawasilisha,

Asanteni.
 
mimi sio genius kwa kauelewa kangu kadogo naona wapo watoto kumi hapo!
 
Vitu vya kufikirisha mara nyingi huwa sivipendi sijui kwanini..
 
Back
Top Bottom