Recent content by Guy Isaac

  1. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Restaurant/ Mgahawa Kahama

    Hauko serious man,, yaan uko dar unataka kujua biashara ya mgahawa kahama iko vipi!? Nenda kafanya research physically mzee wangu usisikilize maneno ya watu
  2. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Natafuta kampuni ya kunikopesha bajaji

    Jamani mimi natafta wanaokopesha pikipiki tu
  3. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza vijana wenzangu kati ya kilimo na kubeti bora nini?

    Kamanda binafsi sibeti but ukisema kubeti ni upuuzi hpo utakuwa umekosea sana....kuna watu wanaendesha sehm ya maisha yao kwenye kubeti.....kiufupi kubeti ni mchezo Kama michezo mingne like playing pool table ,draft games and other games related...mila mtu anaendsha maisha yake kwa namna yy...
  4. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu zaidi kuhusu DSE kiganjani

    Hello guys, Hope wote ni wazima, naomba niende direct kwnye mada tajwa hapo juu,, wapendwa natamani sana kuwekeza DSE but sina knowledge yakutosha hivyo nimekuja kwenu kuomba msaada wa kuelekezwa zaidi. Jinsi gani unanufaika na ununuzi wa hisa kwnye makampuni? Kingine na cha muhimu zaidi...
  5. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

    Kaka,, acha ushabiki kwenye roho za watu
  6. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Uwakala wa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money inaingizaje pesa?

    Mkuu ndo kwanza j3 ya kesho kutwa naanza hii kazi ,, nimeogopa sana kuona kamishen zinazolipwa na hizi mitandao yetu aise
  7. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Bongo kuna MC mkali kama huyu kweli?

    Hapo tu ndo ulipofail ndg yngu ,,hutakiw kumkubal mtu kwa kuwa anapnda kitu unachokipnda ww
  8. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Amechaguliwa vyuo viwili aende wapi??

    Ooh!!angalia ubora wa chuo ,usiangalie kwann wngne wanasa pale ,sawa mkurungez?
  9. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Amechaguliwa vyuo viwili aende wapi??

    Hmna bora hapo kati ya hvyo ulivyovitaja,kwa ushauri wangu befr hajafny confirmation ni bora akareapply vyuo vngn but if kuna 3rd round afnye hvyo mapema
  10. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Sijatumiwa confirmation code na TCU tangu jana

    Umechaguliwa chuo gani?
  11. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Mkuu mm nimesom mpk nimechok embu nambie in briefly iliixhia wap maana nilichele w sana kuisoma
  12. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa admission points za kujiunga na Degree ya Pili (masters)

    Wapendwa katika bwana, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasoma Degree ya Business Administration nina mpango wa kusoma mpaka ngazi ya Masters nikihitimu Degree yangu ya kwanza hivyo naomba msaada wenu juu ya qualification zipi zitakazonifnya...
  13. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Dah!!nipe connection mammy !!mimi pia nataman kufika ughaibuni huko
  14. Guy Isaac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Ila wanyaturu ni warembo mpaka basi

    Nenda mikoa yao mzeh utawapata wako wengi sana
  15. Guy Isaac

    JamiiForums Tanzania Wamachinga: Tuko tayari kuandamana 2025 Rais aendelee kubaki madarakani

    Katiba ya Tz inasemaje mkuu? Naheshimu sana maoni yako.
Back
Top Bottom