Kazi ya Uwakala wa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money inaingizaje pesa?

Naombeni mwenye kujua jamani Kazi ya UWAKALA wa M-pesa, Tigo Pesa, Airtel money inaingizaje pesa?
Niaje kwanza pitapita zangu uku usiku wa leo ndionimefika apa kukupa majibu.
Mpesa au mitandao yote ulipa wakala wake kwa commission yaani deep down ukisoma lile tozo basi kwa kila kiasi kinacho tolewa lazima wakala ale chake. Second mpesa/tigopesa inafanya vizuri ikiwa na float nzuri ya uwakika ili idadi ya miamala iwe mingi zaidi ili mapato yawe makubwa. Alafu sasa mitandao hutoa rewards kwa clients wake na apo ndo raha zinazidi kwa wakala. Usisikize watu ukiweza kuongeza na uwakala wa benki fanya ivyo achana na wanaotaka chapchap. Consistency is the key.
 
Mkuu ndo kwanza j3 ya kesho kutwa naanza hii kazi ,, nimeogopa sana kuona kamishen zinazolipwa na hizi mitandao yetu aise
 
Vipi na uwakala wa benki ukoje wenyewe katika suala la kulipa comision,yaani unapateje commison yake?
 
Tofauti ni ndogo sana na makampuni ya simu kwani kwenye simu kuna kuweka na kutoa na hivyo kwenye uwakala wa benki,ila kumbuka pia kadri unavyo hudumia wateja wengi ndiyo unapata kamisheni kubwa na kamisheni zote huwa zinalipwa kupitia mashine yako unayo fanyia kazi
 
Back
Top Bottom