Guy Isaac
Senior Member
- Aug 10, 2019
- 126
- 60
Hello guys,
Hope wote ni wazima, naomba niende direct kwnye mada tajwa hapo juu,, wapendwa natamani sana kuwekeza DSE but sina knowledge yakutosha hivyo nimekuja kwenu kuomba msaada wa kuelekezwa zaidi.
Jinsi gani unanufaika na ununuzi wa hisa kwnye makampuni?
Kingine na cha muhimu zaidi naomba kufaham ni kampuni gani ukiwekeza unapata gawio zuri na faida kubwa!?
Samahani kwa usumbufu