Ndugu wanaogopa
Hukumsikia Lowasa, miongoni mwao hakuna msafi hata moja, kikubwa nani atadhubutu kuanza kumfunga paka kengele????? ukianza kuwapeka mahakamani hutawamaliza, naamini wanaambiana wewe bwana ukingia nilinde mie nilimlinda aliyenitangulia, Hatujawa na huo uthubutu hata kidogo ndugu...