Msaada tutani jamani.

KiJo

Member
Jan 19, 2011
46
0
Rafiki yangu alikua outing beach bagamoyo last wkend na wenzake, gafla mzungu mmoja kwa mwonekano alikua mwanaume akamwita wakawa wanaongea at the end wakabadilishana contacts, just today msela katoka kwake kigamboni ananipa story but in short anasema anajinsia mbili na kwa mwonekano ni mwanaume wa kawaida ila ya kike ndio inafanya kazi, jamaa akaomba kuthibitisha akakuta ni kweli na anaishi na mama yake uko, amemwahidi kumsaidia lolote as long as he keeps the secret to himself. Afanye je..?????
 

Sasa anaomba msaada gani? khali si kaiona? mwambie atambue hii ni Africa Si uliona SEMENYA alivyopigwa vijembe?angekuwa Ulaya Au US angeweza akajipongeza lakini kwa kuwa yupo Bongo plz mpe pole
 
Hapo sioni tatizo..., Kwanza walipokutana walikutana kama wote ni wanaume na urafiki wao haukuwa based kwenye mapenzi.., na kutunza siri ndio ustaarabu hata asingemuomba atunze siri, ingebidi jamaa atunze siri...

Cha kufanya waendelee na normal urafiki wa kawaida na mwambie jamaa atunze siri ingawa sasa wewe, Gudlack aliyekujibu hapo juu, mimi, watakaojibu hapo chini na guest wote wanaochungulia sasa wanajua... :angry:
 
Mengine sio yakuomba ushauri,
Kwani anataka nini cha zaidi kwake.
Si unrafiki wa kawaida tu kama vile wewe na yeye mlivyo au?
Labda sijaelewa vizuri.
 
Khaaa!
Wameoneshana hizo nyeti ili iweje sasa?
Au anamtaka?
Haya afiche siri na asitangaze ingawa huyo mwenyewe ameshindwa kuficha siri.
Amemuamini vipi haraka namna hiyo hadi kumwambia mambo yake.
Rafiki yako nae kashakwambia wewe.
Huyo mdada sijui kashawaambia wangapi. Wewe nae ushayaleta jf bado ofisini na mtaani.
Khaa!
Sijui siri yenyewe bado ipo.
 
mi kaka vile sijaelewa vileee anataka ushauri mzungu kamtaka??? au ushauri wa yeye kuwa na mzungu kama rafiki yake wa kike? mwambie aangalie sana asije akaamua kumtuliza hamu zake badae mara kitu kinainuka jamaa nae anataka! awe nae urafiki wa kawaida asijejiingiza kwenye matatizo
 
Dunia ndiyo inakaribia mwisho hiyo...

Aibu hizi tutaulizwa na mwenyezi mungu.. Sijui tutajibuje..

Halafu wewe umeambia ni siri,, sasa nini unakuja kutuambia sisi huku. Wewe siyo rafiki mzuri kwani ulipashwa kuwa msiri.. Jifunze hilo..
 
sharti la kwanza ameshindwa kulitekeleza, kwani ametoa siri hiyo kwako. Kwani lengo la urafiki wao hasa ni nini?
 
duhh,unataka ushauri ana mpango wa kuwa na uhusiano nae au anaogopa awe na urafiki na huyo jamaa au lah au nini???mi sijaelewa.....:coffee:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom