Recent content by gudgirl

  1. G

    Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

    Pole sana Pearl.Mungu akupe nguvu katika majonzi haya!
  2. G

    Suprise kwa mke

    masikini wee pole kwa huyo mume!i imagine kama aliskia lilosemwa loo
  3. G

    Sentensi!

    kutoka nje
  4. G

    Can best friends be lovers?

    Inawezekana kuwa best friends bila kuwa wapenzi ingawaje inaweza ikageuka vilevile.Ilishawahi kunitokea hiyo, niliwahi kuwa na my best friend na nilimzoea sana kupita kiasi mpaka watu walihisi kwamba ni wapenzi ingawaje haikuwa hivyo.mmh hata hivyo nahisi ilikuwa external pressure tukajikuta...
  5. G

    Malizia sentensi hii uonavyo...

    si wakaanza kuimba,....happy birthday to you,happy birthday to you.............
  6. G

    From German to heaven!

    mi hayo macho yako tu yanisababisha nisikuangalie mara ya pili!
  7. G

    Bongo igeni na kivazi hiki!!

    mmmh haya!
  8. G

    Haloo Mpenzi... Ndo niko kona ya mwisho hapa..

    mbona kama hii sura ndo ile ya nipige tafu voda!?
  9. G

    ninahitaji mchumba!!

    Ni kweli LD hata mie hiyo kitu ya dini huwa inanitatiza sana unless wote wanaokutana hapo kwenye uchumba hawana time na dini zao, wao ilimradi siku zimepita.
  10. G

    kama ....

    hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
  11. G

    Aibu kubwa uwanja wa mwalimu julius kambarage nyerere.....

    mimi hako kamdudu kanazunguka hapo kwenye avatar natamani kukatoa.
  12. G

    Hii bahati au mkosi?

    hii kali na inawezekana wakati anarudisha mfukoni hakuridisha kwenye mfuko wa kwanza aliyotoa hiyo elfu kumi!
  13. G

    misemo ya vijana wa kileo bwana.,

    inapendwa pesa hapo hapendwi mtu
  14. G

    misemo ya vijana wa kileo bwana.,

    hili mnalo wanaume litawaandama!
Back
Top Bottom