misemo ya vijana wa kileo bwana.,

misemo ya vijana wa kileo bwana.,

haiumizi ni maumbile yake.
sharobaro.
hatumwe mtoto hapa
 
Hii nimeisikia leo toka kwa Juakali wa Kenya-Miaka 18 mkulima napalilia shamba
 
- kitambi cha maskini ni kibiongo,
-maskini halali mchana
- tutawafundisha bure ila maswali mtalipia
-:msela:
 
1:Heshima pesa ndevu urembo
2:Kiduku uzushi kigodoro funika bovu
 
HESHIMA IMEENDA LIKIZO
nyumba ikiwa na choo,sharti kuacha matumizi
 
Back
Top Bottom