From German to heaven!

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,748
Mwalimu mmoja alikuwa akitoa ratiba ya safari kwa wanafunzi walipokuwa assembly. Wanafunzi kumi hivi walichaguliwa kuwawakilisha wenzao kitaaluma huko Ujerumani, so mwalimu akaona ni bora wanafunzi wote wajue wenzao watapitia wapi na wapi. Akaendelea, "So the group will start from here (school) to KIA. From KIA to Nairobi. From Nairobi to Dubai. From Dubai to Antwerp. From Antwerp to German!

Mwanafunzi mmoja pale assembly akadakia kwa sauti kubwa kabisa, "From German to Heaven!!
 
Uchuro huyo mtoto!
 
mi hayo macho yako tu yanisababisha nisikuangalie mara ya pili!
 
Back
Top Bottom