Can best friends be lovers?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
suppose una rafiki yako wa jinsia tofauti ambao urafiki wenu goes way long back. Mnashare everthng 2gthr,always mko pamoja mpaka watu wengine wana fikiri ni mtu na mpenz wake. Wewe unamshirikisha katika kila jambo lako na hali kadhalika yeye pia anakushirikisha katika kila jambo lake (secrets). Suddenly ur beste anakwambia she/he iz in love,unafurah na unampa congratulations. Bt later on unaanza kushikwa na wivu ukimwona yuko na yule mpenz wake na hata mazoea nae yanaanza kupungua. Je,huu wivu unasababishwa na nin? Na je,unaweza kufall in lv na beste yako? Unahis atakuonaje ukimwambia ukweli?
 
possible na usijaribu hii kitu .am talk via my uzoefu zile hisia za mapenzi huwa zinajitokeza na aina hii ya urafiki inatokea kama wenza wenu wako mbali au mmoja hana mtu na mwingine mwenza wake yuko mbali .sisi ni binadamu na tunahisia so we need care na hapo ndo wivu unarise
 
@ dena lakin kumbuka feelingz zinakuja autömatically wala hauzi influence. Wat wud u do? @maganga wat if wote hamna wenza? What wud u do?
 
it's possible to fall in love na best yako mana feelings hutokea automatically, but
ni ngumu sana kumwambia best yako juu ya hisia zako
na yes hutokea ukawa na feelings na best yako ukizingatia mlikuwa mnashare alot haswa kama wote mko single
(speaking from experience) best yangu alipata feelings juu yangu but he couldnt tell me, we used to be so so close
ikatokea nikasafiri kwenda mbali na nyumbani kwa muda hapo ndipo ailpoweza kunambia tena via chat
na akasema akiniona ataona aibu sana.
sijamuona best yule mpaka leo twaongea tu kwa simu

Kama unahisia juu yake kwanini usimwambie hata kwa msg basi after all ana mtu wake..inawezekana na yeye pia anazo but hakuweza kukwambia kwasababu ya uoga wa kupoteza urafiki.
 
Hapa kosa ni lako/lake. Kwa nini uka/akasubiri mpaka mwengine kaja kavamia kiwanja? Kama mlikaa miaka yote hiyo kwa sababu ya urafiki tu, kwa nini unabadilika ghafla?

Wivu unawezakuja (wa kibinadamu au wa choyo) kwa sababu tu unamwona mtu wa kati kaja kuvuruga mazowea mliyokuwa nayo, lakini ikiwa kweli ni rafiki yako ya kweli ugepaswa kufurahi mwenzako kupata mwenza.

USHAURI: Ikiwa mtu unampenda, usithubutu kutumia urafiki kama chambo cha kuteka mapenzi yake. Ikiwa unampenda jitokeze tangu dakika za mwanzo, vyenginevyo utonekana kama mnafiki, ulikuwa untumia urafiki kama kisingizio tu lakini kwa uoga, ubwege wako umechelewa "jamvini".
 
@sweet dada,nimependa ushauri wako. @mammamia ni kweli kabisa lakini watu huw wanaogopa kuvunja urafiki thats y af unahis utaonekana mtu wa ajabu
 
Inawezekana kuwa best friends bila kuwa wapenzi ingawaje inaweza ikageuka vilevile.Ilishawahi kunitokea hiyo, niliwahi kuwa na my best friend na nilimzoea sana kupita kiasi mpaka watu walihisi kwamba ni wapenzi ingawaje haikuwa hivyo.mmh hata hivyo nahisi ilikuwa external pressure tukajikuta tumeingia kuwa wapenzi ila kwa muda mfupi sana. kwa mimi haikulipa hata kidogo sikuweza niliamua kuachana na hiyo status ya mapenzi.mpaka leo bado ni rafiki yangu wa kawaida tu
 
Ukitaka kugombana na best friend wako wa jinsia tofauti hadi kuvunja urafiki wenu, ingiza mapenzi.
 
Mara nyingi huwa tunachanganya baina ya urafiki, mapenzi na matamanio.
1. Urafiki wa kweli ni jambo takatifu na linapaswa kulindwa kama lilivyo.
2. Ikiwa kuna mapenzi, subirini hiyo itakuja wenyewe, mtashangaa yalianzaje.
3. Katika aina nyengine ya urafiki, ule ambao haujafikii hatua ya urafiki wa kweli, ikiwa mtakubaliana, mnaweza ku-do bila ya masharti wala ahadi, ingawaje hii ngumu kidogo kwani uzoefu unaonesha mmoja anaweza kudai zaidi ya makubaliano ya awali.
 
for what i knw, its possible for best frendz kuwa loverz an' most of tha tym relationship yao hudumu b'coz they knw each otha inside out.
 
Back
Top Bottom