Recent content by Grim Reaper

  1. G

    Nafasi za Temporary Credit Clerk za Postal Bank walishaita?

    Yapo ya kusubiria, sio hawa jamaa aisee. Yaani wanamatangazo mengi ila baada ya tangazo kinachoendelea hua ni siri yao wenyewe! Ushaur wangu check na wengine tu!
  2. G

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Hivi wadau kwa anaejua, hizi interview za TRA hua zinakua ngapi? (kwa kifupi naomba kujuzwa baada ya oral interview hua nini kinafuata?)
  3. G

    Msaada wa maswali yanayo ulizwa interview za NMB

    Duh, inamaana washachuja woote yaani. Sasa mtoa hoja vipi wamekucontact kwa email au simu au kuna list imetolewa?
  4. G

    Jamaa aliyezuia pdproxy pale voda apandishwa cheo

    Anae fanya piracy ni user au sever ambae woote wanasubscribe kwake?
  5. G

    Haya wale wa ifm, jipatieni hostel hapa.

    Ni umbal gan kutoka kwenye hicho ki-panton?
  6. G

    GPA zetu bongo kweli ni kizungumkuti

    Sasa wajumbe hivi hicho chuo ha ST.JOSEPHY ndo kinapatikana wapi na SURP ndio nini wajumbe? Hata abbreviations tu zinawashinda sasa ndo mpewe first class kwel? kuweni serous bwana hakuna Elimu rahisi. Piga shule utatoka
  7. G

    Hivi inawezekana kutenganisha BEATS na MANENO ya same track?

    Kwanini ucingie extra torrent, then uisearch hiyo nymbo coz sm tyms huwa znakuja zenye acapela, beats, clean and dirty versions all in one folder then ulidownload. Try ths
  8. G

    Incredible hand arts

    Ni hataree
  9. G

    huu ni ubepari wa aina gani na utaisha lini????

    dah? Pole sana Mjumbe, naamin ushaur wa The Bos ndo mpango mzma... Ila pole sana Jo
  10. G

    Nahitaji kuachana na huyu mwanamke,naomba ushauri wako tafadhali!

    Kulia mbwembwe man, hawa viumbe wana phd ktk kuongopa! Na ukirudiana nae tu blv t o nt, utafall wewe na weakness zake me nina experience nazo so take a move man! Take it frm me
  11. G

    Nauza Nokia E51

    Ina umri gan tangu izaliwe kwa duka mkuu?
  12. G

    ....Nywele za chini

    umeona enhee, nimeipenda ulivyo maansha!
  13. G

    Kikwete: Watu wanamiliki viwanda vya kutunga Uongo Tanzania!

    si hiyo first estimation ina show kutumia 36 months, au kuna kitu namiss hapo?
  14. G

    Kikwete: Watu wanamiliki viwanda vya kutunga Uongo Tanzania!

    Hivi kutoka mwaka 1978 hadi 2012 teknolojia ya ukandaras imekua kwa 1/6 (16.67%) kweli? Yaan miez 36 mwaka 1978 hadi miezi 30 mwaka 2012!
Back
Top Bottom