Jamaa aliyezuia pdproxy pale voda apandishwa cheo

Wawalipe makampuni ya Auditing wawasaidie au watengeneze dedicated department.
Vinginevyo waihalalishe tu!
 
Stefano Mtangoo
.
Aisee mkuu humu ndani sikujua hiz mishe za port zinaendaje!
.
Mi ndo kwanza mgeni humu
na kamwe sitakuja kutoa michango wala views zozote kwenye hv vitu, kwa nnavyo jua hv vi2 watu vipo moyoni kabsa,
.
kwa hyo ukiwagusia hawa wasio onja maisha ya juu,
.
Direct kabsa utakosana na wanao kula sahan ya nnchi,
.
Me ntabaki hv hv, kama sijui chochote nimeona humu
.
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-any-isp-for-free-internet-2.html#post8087785
.
lakin still for bigginners
.
open port zipo ila it does
not mean you can just get
in easy.
Before you attempt to use
an open port,look for info on such port like an exploit.
 
Last edited by a moderator:
Pd proxy will never die natumia basi jekundu kwangu tokea juzi mpk leo asubuhi nimetumia.!!! Tunahama ruti tu kama uda hatuna mstari ubavuni

Haaa...!!!! haaa....!!! kumbe ndo janja ya UDA kutoweka mstari ubavuni...... ili wahame ruti.
 
Stefano Mtangoo
.
Aisee mkuu humu ndani sikujua hiz mishe za port zinaendaje!
.
Mi ndo kwanza mgeni humu
na kamwe sitakuja kutoa michango wala views zozote kwenye hv vitu, kwa nnavyo jua hv vi2 watu vipo moyoni kabsa,
.
kwa hyo ukiwagusia hawa wasio onja maisha ya juu,
.
Direct kabsa utakosana na wanao kula sahan ya nnchi,
.
Me ntabaki hv hv, kama sijui chochote nimeona humu
.
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-any-isp-for-free-internet-2.html#post8087785
.
lakin still for bigginners
.
open port zipo ila it does
not mean you can just get
in easy.
Before you attempt to use
an open port,look for info on such port like an exploit.

Dirty game don't jump in.
But then these companies forces people to do so.
So its all about how Intega you are!
 
alie post anaweza kua amekosea.... pd proxy n uhalifu kivipi? na condition ipi.... bas wangekua most wanted....
 
IT mmoja aliyezuia pdproxy kutumika kwenye voda amepandishwa cheo kwa kuzibiti uhalifu

Nyie mpandisheni cheo sasa matokeo yake tumewa-fake sasa tunajidai tunaangalia Credits za watumiaji wa net kumbe tunakamua BANDWIDTH yenu na wambieni SWITCH zenu zitaungua tena msipo omba msamaha kwa Acc za watu ambazo hazifanyi connectio...
Angalia kwa sasa na POST hii thread members Online ni 8800 wakati huwa wamekaa around 33,000

Ubovu mliowaajiri sio halali

  • Mmewaajili kwa kuwavua Bi*ini
  • Mmewaajii kwa Undugulization

Mm nawachunia muendelee kujisifu lkn jue fika SWITCH zenu zitaungua zote na Width tutakamua mpaka mtandao litafungwa kutoa huduma ya net
4m1l.jpg

qkby.jpg
 
hapo unapaswa ushushe na linux mint 16..
 
alie post anaweza kua amekosea.... pd proxy n uhalifu kivipi? na condition ipi.... bas wangekua most wanted....
Ni kama mwizi agundue tundu kwenye dirisha mwenye nyumba hajaliona akalitumia kuiba. Kugundua tundu si uhalifu ila kulitumia kujipatia mali isivyo halali (kuiba) ndio crime

Anae fanya piracy ni user au sever ambae woote wanasubscribe kwake?
Wote wawili under criminal law ni wakosaji. Ila kuwashtaki inahitaji ufahamu wa mambo haya na sheria ya leseni za mambo haya!
 
Tatizo la watu cku hizi wakipewa new trick cha kwanza wanakwenda kwa mashori wao kujichukulia ujiko waonekane ma IT kumbe ndo wanahalibu kila kitu tulizeni munkari vijana wa mbili havai moja tuwaache wale wamabasi ya fuko la Rambo sie tuingie Private car zetu tule viyoyozi hatuwezi watu wote kujaa kwenye Range Rover....
 
Duuh@kweli we Terestrial
 
Mkuu umehuajeeee yani hapo ndo tunaharibu mamno maaan wanwake mmmmmh
 
Back
Top Bottom