Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 mwajiriwa katika private sector ninatafuta binti wa kuchumbia ili baadae awe mke wangu wa maisha.
Sifa za binti
Awe mcha Mungu,
Amemaliza kidato cha nne na kuendelea,
Awe mzaliwa wa Arusha, Tanga, Kilimanjaro,
Awe mpenda maendeleo,
Umri ni kuanzia miaka 20...