GREAT IDEAS
Member
- Jul 19, 2013
- 32
- 7
Habari wana ukumbi; kuna filamu iliyochezwa wahusika walikuwa 2 white men and black man (kibonge)ambopo Huyu black wakati wa mchezo alikatiza kwenye mto na mamba walimuuma mguu na akashindwa kuendelea na safar na ndipo akiwa chin aliua wanajeshi weng na mwishowe kuuwawa baada ya risasi kuisha na wale wawili waliamua kujitosa kambi ya maadui Lakin babu white alitekwa na kuokolewa Lakin baadae aliuwawa na aliyebakia alidandia helkopta ilyomleta kiongozi