Recent content by great 2012

  1. G

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Hiyo chance ya kutupatia rais wataipata wapi? Wakati maandamano yakumg'oa ****** yanakuja hata kabla ya 2015? Na ikishindikana itakuwa full kudelete wala rushwa wapiga deal na mafisadi wanaotumia bunge kama sehemu ya kujipatia chakula.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Huju ni M Tanzania anaye itwa kwa jina la Sudi Mkaazi wa Zanzibar anaumwa maradhi ya akili (Wendawaz

    Hawana fungu la kuwashughulikia watu kama hao
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ikulu yawajibu walimu, yasema mgomo ni Batili, kesi iko mahakamani

    Mahakama si ndio sehemu yao ya kukimbilia, kweli jk dhaifu na ccm ni uozo mtupu badala ya kushughulikia madai ya walimu wanakimbilia mahakamani? Kama noma na iwe noma..............!!!!mgomo pale pale
  4. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitesa CCM Mbeya

    Kama vip chama cha mafisadi (ccm) si mpeleke pingamizi mahakamani maanake ndio zenu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuendelea kuwasiliana na Xboyfriends wakati umechumbiwa tayari?

    Hamna mwanamke hapo kama vip mdelete tu
  6. G

    JamiiForums Tanzania kina kaka naombeni majibu....(hata kinadada changieni)

    To me, kupika Chakula kitamu ni moja ya sifa ambazo napenda MKE WANGU awe nazo, Na kwa bahati mbaya wasichana wengi wa kizazi CHA MASHAROBALO NA MASHAROSISTER wengi wao wanajua tu KUJIPIKILISHA. So kama na wewe ni wa kizazi hiki jua IMEKULA KWAKO
  7. G

    JamiiForums Tanzania Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

    VI ELFU KUMI UNAVYOPEWA NA nape VITAKUKOSTI WEWE
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Daaah!!! Jamani milioni 10 zangu ndo imekula kwangu mimi ama kweli liwalo na liwe
  9. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lipongezwe kwa kazi nzuri kwa Dk. Ulimboka ~ Nicholaus Mgaya

    watu wanaoitwa usalama wa taifa a.k.a walinda mafisadi mission zao ni nouma, wanachofanya ni kutuzuga tu eti tuone kuwa serikali haihusiki, kwani huyo mkenya kwanini alimteka dr ulimboka kama sio serikali ilimkodi? au KOVA atutajie mtu aliyemleta huyo GAIDI.
  10. G

    JamiiForums Tanzania hivi wanaume mna roho za aina gani

    kabla hajasepa zake mwambie amuulize huyo men wake kuwa ni kwanini amemuacha na anampenda zaidi X-GF, i think huyo rafiki yako atakuwa anaudhaifu ambao jamaa ameshindwa kumvumilia, mhoji rafiki yako akwambie ukweli juu ya mahusiano yako, tunaweza kuwa tunamhukumu jamaa kumbe mwanamke ndio mwenye...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lipongezwe kwa kazi nzuri kwa Dk. Ulimboka ~ Nicholaus Mgaya

    huwezi kuibadili rangi ya kijani kuwa njano, msaliti ni msaliti tu hata avae ngozi ya kondoo
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nchemba tena - bungeni; adai kutishiwa kuuwawa na wabunge wa CHADEMA

    Anatapa tapa hajui atendalo, nchemba auawe kwa kipi hasa alicho nacho!!!! Au ndio mpango wa kuzima suala la dr. Ulimboka kidesign?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nchemba tena - bungeni; adai kutishiwa kuuwawa na wabunge wa CHADEMA

    Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa iramba ameomba mwongozo wa eti bunge lisitishe huduma za leo bungeni ili wajadili kifo cha yule mfuasi wa CCM aliyeuwawa huko Iramba, Nchemba wewe ndio wa kulaumiwa kwani tunajua fika kuwa wewe ni GAIDI na ugaidi wako umejionyesha kwa kuwalipa vijana posho...
  14. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaisambaratisha CCM Chato

    what goes around comes around, ccm kwishney
  15. G

    JamiiForums Tanzania Sijui nifanyeje wanajukwaa

    Asanteni sana wanajukwaa kwa ushauri wenu mlionipa na Mungu awabariki sana
Back
Top Bottom