kina kaka naombeni majibu....(hata kinadada changieni)

.,habari zenu wana jf. nauliza kina kaka mkiacha kuangalia tabia, muonekano nk. kwa msichana, je ufundi wa mapishi jikoni huwa mnatilia maanani? au mnatizama sura tu, makalio na guu la bia

Asikudanganye mtu, mapishi yanachukua nafasi ya kwanza (for me). Hakuna kitu kinaboa kama upo na mdada mrembo haswa, figure kali, sura, miguu n.k Halafu wakati wa mambo flan hatoi hata ushirikiano i.e hata kupapasa ni tabu achilia mbali kuzungusha nyonga kwa utaratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu!

Mara nyingi wanabweteka na appearances zao. Lakini ukweli hakuna kitu kinachofurahisha kama kujisikia umeridhika kimapenzi, achilia mbali sura, umbo au rangi ya aliyeufikisha mtima wako.

So I am in support of service that I get and nothing else!
 
not really!! unless you are a chef or cook for parties, cooking skills aren't so important in choosing mwanamke. Most of us know basic cooking and those who don't can afford restraunts or a house girl
Acha kumpotosha! Just sema wewe kama wewe! wanaume walio wengi hawez thubutu kupikiwa na h.girl na mkewe akiwepo mzima!
Mapishi ndo mambo yote,pikia mmeo vizuri uone utakavyosifika!!! Ndo ukute mwanamke mzuri wa sura na maumbile kwa ujumla,halafu kupika hola,lazima uwe gumzo mtaani na kudharaulika juu!
 
mwanamke kujua kupika ni moja ya kigezo kikubwa cha kumvutia mwanaume mwenye nia ya kuoa.
mimi napenda sana pilau au wali kwa maharage ya nazi, nikiwa na hamu nitakuwa namwambia tu mke wangu akorofishe aina hiyo ya maakuli ili nijidai badala ya kwenda hotelini.
 
habar yako dada.....!

ukwel hiyo ya ufundi wa jikon nayo inamata japo inategemea kwa sisi wavulana tumetofautiana katika kuwatazama wasichana na kujiuliza kama fulan ana ujuz wa kupika au lah hilo weng hawalitilii manani na kujiuliza, ila kwa baadh ya wavulana linatiliwa maanani
ila kuna jamaa alishaoa mke kumbe mke hajui maskin kupika yaan hajui kabisa ila jamaa alimfundisha mpaka mke akawa anajua kuliko hata mume wake ila ukwel msichana anaejua kupika mvulana yeyote ana apleshiet na kufurahia mapishi.
mim mwenyewe kuna mboga huwa siipend ambayo ni kabich ila kuna mdada ashanipikia mpaka nilivutiwa nae mpaka leo simsahau kabisa yaan hiyo kaabich alivyoipika dah pia na dagaa.
Ila dada wavulana weng waangaliao makalio na mambo mengine ya nje ukwel hawanaga plan za kuwaoa ndomana swala la wewe kukujua kama una ujuzi wa kupika yeye hana mda nalo kujiuliza, jaribu mwenyew kujiuliza.
 
wadada wa cku hz awapk kila ktu bek 3. Me naangalia uzur na elmu
 
To me, kupika Chakula kitamu ni moja ya sifa ambazo napenda MKE WANGU awe nazo, Na kwa bahati mbaya wasichana wengi wa kizazi CHA MASHAROBALO NA MASHAROSISTER wengi wao wanajua tu KUJIPIKILISHA. So kama na wewe ni wa kizazi hiki jua IMEKULA KWAKO
 
kigezo changu cha kwanza ni elimu kwanza, unaweza kujiuliza kwanini.....Jiulize siku mwanaume akitangulia mbele za haki familia itakuwa ktk hali gani? mafao yenyewe serikali inazingua....lazima mke wangu awe na elimu na nimfunze kutumia pesa in cost effective na jinsi ya kubuni mradi ili siku sipo kazini hatakuwa na presha
 
.,habari zenu wana jf. nauliza kina kaka mkiacha kuangalia tabia, muonekano nk. kwa msichana, je ufundi wa mapishi jikoni huwa mnatilia maanani? au mnatizama sura tu, makalio na guu la bia

sio hayo uliotaja. wkati mwingine hayo hayana nafasi.
 
mwanamke kujua kupika ni moja ya kigezo kikubwa cha kumvutia mwanaume mwenye nia ya kuoa.
mimi napenda sana pilau au wali kwa maharage ya nazi, nikiwa na hamu nitakuwa namwambia tu mke wangu akorofishe aina hiyo ya maakuli ili nijidai badala ya kwenda hotelini.
:A S 465:Huo ni mtizamo wako, waoaji hawavutiwi na upishi tu,
 
Anaweza kuwa hajui leo kupika lakini kesho akajua na akapika vizuri. Je vitu vyote vinaweza kubadilika on the way?? Mwanamke mwenye tabia nzuri pia ni mwenye uwezo wa kukubali kuwa hawez na akijifunza. Mapishi ni kigezo cha mwisho kabisa kama vigezo vingine amefuzu.
 
Kuna mtu alishaniambia kitu mwanamume anapenda toka kwa mwanamke. Nisameheni nitatumia maneno yake ili nisiingize tafsiri zangu.

1. Kauli nzuri
2. Chakula kizuri
3. Mt.mbo mzuri

sikumbuki order lakini huo ndio mtazamo wake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom