Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

Liwalo na liwe ndoa lazima ifungwe leo.
Mnaolalamika ni wachovu wa kufikiri na msiojua taratibu, mila na desturi.
Kwanza maombolezo ya kitaifa ya siku tatu yameisha sasa hapa nini cha ajabu? Kwetu anafariki mwanafamilia siku moja hadi tatu kabla ya harusi lakini shughuli inaendelea kama kawaida.
Hii tabia ya watumwa wa lumumba kuokoteza visababu vya kumchafua Dr. Slaa haitawafikisha popote zaidi ya kuwatia aibu.
 
Haiwezekani watu tunaomboleza jamaa anaoaaaa Daaaaaaamnnnnnnnn!!huu ni ubinafsi wa hali ya juu
Kuna mamia ya ndoa ambazo zimefungwa leo na sherehe kibao; hii ya Dr Slaa haiwezi kuwa issue. Wewe mchangiaji na mleta mada mna uchovu wa kufikiri. hivi mlitaka nchi isimame kabisa kabisa; baa zote zifungwe; ndoa zote ziahirishwe (kama kwamba utalipia gharama za kuahirisha). hapa ndipo ninaposema si kila mwenye nyele ana akili.
 
Hivi anayewajali wananchi wake ni yupi? Ikiwa kila leo kwa sababu ya ubovu wa vyombo vya usafiri, ufisadi kupata leseni hata kwenye biashara isiyofaa na kuuwa watu kila leo..Serikali inatakiwa kuwajibika kwa hili; siyo kwenda kuhani kila leo. Kuomboleza kwa siku 3 kunasaidia nini. Watu wamepoteza maisha, watoto wamebaki yatima nk. Watasaidikaje wahanga? Hata uwape ubani wa siku 2 utasaidia? pengo lililoachwa?????
 
Liwalo na liwe ndoa lazima ifungwe leo.
Mnaolalamika ni wachovu wa kufikiri na msiojua taratibu, mila na desturi.
Kwanza maombolezo ya kitaifa ya siku tatu yameisha sasa hapa nini cha ajabu? Kwetu anafariki mwanafamilia siku moja hadi tatu kabla ya harusi lakini shughuli inaendelea kama kawaida.
Hii tabia ya watumwa wa lumumba kuokoteza visababu vya kumchafua Dr. Slaa haitawafikisha popote zaidi ya kuwatia aibu.

punguza upambe wewe.
 
Kwani Dr. Slaa ana nafasi gani kwenye serikali ya ccm? Ni rais, waziri mwenye dhamana au Mbunge? Bila shaka jibu ni hapana. Mtoa mada acha kujiaibisha ndugu, watanzania wa leo ni waelewa.
 
Kijana acha hoja dhaifu hii ni kweli kabisa wao wametoka Bungeni kesho SILAA anaoa kwa sherehe wakati Taifa liko kwenye maombolezo je huyu mtu anauchungu kweli na Watanzania? Be a great thinker na Bwana atakuonesha njia
Wewe ni mchungaji bogus
 
Join Date : 19th July 2012
Posts : 68
Rep Power : 314
Likes Received6
Likes Given0

Yaani wewe umeingia jana tu na kuja na habari za ajabu ajabu tu..lol
Kweli nimeamini yale yaliyosemwa kuwa mnalipwa hapo ofisi za Lumumba....
Kazi kwenu..ila watanzania wa le sio wale wa mwaka 2000.....
Mkuu huyu yupo siku nyingi sana, ID zake zote hulamba BAN sababu ya udini wake. Ana Malaria isiyopona huyu. Ukitaka kumjua kwenye kila bandiko lake lazima uone neno 'DUHU'.
 
nilifikiri utaambatanisha picha za Dr. Slaa akiwa kwenye hiyo harusi, sasa kunauhusianao gani kati ya sherehe na hiyo picha, lakini pia unafahamu kwamba harusi zinakuwa na siku maalumu, na vipi ile picha ya wana chichim wakiwa kwenye sherehe ciku ya kwanza ya msiba huu pale karibu na magogoni baada ya uchaguzi wa mitaa?
 
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.


Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu


KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI


z3.jpg
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimsikiliza mmoja wa walionusurika katika ajali ya meli jana Bw Kitwana Makama Haji ambaye kalazwa katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja leo July 19, 2012

DSC_1137.JPG
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.


MY TAKE.
HAPA KAMA DK SLAA ANGALIKUWA NDIO RAIS TUSHALIWA KICHWA WAZT. KIKWETE JUU YA UDHAIFU WAKE TUNAOLAZIMISHWA TUMAINI NA CHADEMA. LKN WA DK SLAA KUBURUDIKA LEO NI WAZI SIO UDHAIFU WA KIUTENDAJI BALI NI UDHAIFU WA ROHO
anagalia RED; unaongelea Tanzania ipi ? maana wewe tunakujua kila siku unakuja humu jamvini na hoja za uamsho na kuvunja muungano, au wakati wa majanga ndio unajua kuwa kuna tanzania na wakati wa heri mnawaita "wa bara"!!
 
kama ingekuwa harusi yako afu meli ikazama ungeairisha?au kwa vile ni dr. slaa?mi nlijua unasema bi arusi kazama melini afu dr. slaa akaendelea na harusi kama kawa!ha ha ha ha ha
 
Jamani mlitaka alie na yeye on his once in a life time day!!!

Halafu watu mnajiunga kwa ajili ya kuleta uchochezi humu...wacha bana hizo..
 
hapa tayari kama mtihani MMEPATA 0. huu mtaji mkubwa wa CCM wiki hii yote

Kaka ni kwasababu tu hakuna -0 (Zero negative) lkn katika hili hiyo ndo stahili yao,hawa jamaa siku zote huwa wanajichanganya,bungeni walitoka wakijidai kutokubaliana na maamuzi ya Speaker kutoahirisha bunge ksbb ya janga lile kumbe wakati Taifa likiwa kwenye maombolezo mazito wenyewe washasahau wanakwenda kuruka disko la harusi ya Babu na Bibi,hii kweli inaingia kilini?
 
Back
Top Bottom