Recent content by Gottee

  1. Gottee

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy Tab2 7.0

    Nina Samsung Galaxy Tab2 7.0 how do I insert SIM Card?
  2. Gottee

    JamiiForums Tanzania Matiko Matare ni mzima

    Na mtu mmoja anaitwa Haroun Kimaro naye yupo wapi jamani?
  3. Gottee

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Kikwete, Pinda na Lowassa

    Ukimaliza kuwalinganisha hivi uanze kuwalinganisha na kwenye Wizi nani mwizi zaidi ya mwenziwe! Manina!!!
  4. Gottee

    JamiiForums Tanzania CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Alipokuwa NCCR-Mageuzi aliwahi kusikika akisema CCM ina UKIMWI. Leo aje atuambie ni lini imepona gonjwa hili hadi yeye arudi huko na kuanza 'kujamiiana' nayo!
  5. Gottee

    JamiiForums Tanzania TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    Kwani ile biashara ya ajabu ajabu ya Manji na NSSF, huyu Dau hakuwepo?
  6. Gottee

    JamiiForums Tanzania Masha yuko Njema sana

    No she sound like she is the wife
  7. Gottee

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Kikwete na BBC: Tumevuna tulichokipanda

    Ukisikiliza yale mahojiano unaishia kusema kweli kijana wa bongo kachoka kachakaa! Tatizo letu sisi wabongo ni watu wa matukio. Baada ya siku mbili hili tukio la BBC halitakuwepo! Lakini ni huyuhuyu alisema vibinti vya kike vinavyobakwa na kupewa mimba ni kiherehere chao. Sio huyu alisema hajui...
  8. Gottee

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwako Kibonde (Clouds FM)

    New operating system in town from THT!
  9. Gottee

    JamiiForums Tanzania Yusuph Makamba yu wapi?

    Mbona aliaga toka wakati ule. Kwamba anakwenda kuwatengenezea Makao wenzake. Yawezekana RA keshafika huko!
  10. Gottee

    JamiiForums Tanzania Efraim Kibonde amsafisha Rostam

    Ndugu zangu mimi naomba kutofautiana na nyie. Mimi nina imani anachofanya Kibonde ndio msimamo wa Radio anayoifanyia kazi. Kumsakama Kibonde peke yake ni kutaka kusema yeye ni mmiliki wa Clouds. Ukitaka kujua yanayotokea Clouds sikiliza na vipindi vingine kikiwemo Power Breakfast. Kuna hawa...
  11. Gottee

    JamiiForums Tanzania Kwann kubenea hakuchapa makala hii? Ezekiel kamwaga mwanahalisi so uwanja wa porojo wala propaganda

    Huitaji elimu ya chuo kikuu kubaini kwa nini hii makala haikuchapishwa. Na siamini aliyeiandika ni mwandishi wa kiwango kilichodaiwa hapa, vinginevyo ajitokeze kwa jina lake halisi kama kweli ni jasiri. Ni malezo yenye kubanisha chuki ya mwandishi kwa Kamwaga na hakuna hoja zozote zenye...
  12. Gottee

    JamiiForums Tanzania Kwann kubenea hakuchapa makala hii? Ezekiel kamwaga mwanahalisi so uwanja wa porojo wala propaganda

    Binafsi mimi nilikuwa mshabiki mkubwa wa Kamwaga. Nilianza kuona dalili za uandishi wake kubadilika! Akawa anatumia muda mwingi kumwandika Lipumba na CUF Bara. Hatimaye akaibuka na makala ile. Nilipomaliza tu kuisoma nilimwandikia sms nikimwambia huyu siye yeye tunamjua! Kwa mtu anayeisoma...
  13. Gottee

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunataka mafaili ya Muungano siyo picha za Nyerere na Karume

    Eric ulimsikia Lissu? Au unaunganisha maneno vipande vipande. Tundu alisema yeye ni muumini wa Serikali tatu ambayo ni sera ya chama chake. Lissu hakumung'unya maneno pale na ndio maana hukuona muongozo wa spika au adaiwe ushahidi wa maandishi. Wakatae kama Kawawa hakukiri hadharani kuwa mambo...
  14. Gottee

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Hivi kwanini Nyerere alikataa J. S. Malecela asigombee urais kupitia CCM

    Jamani kule BRELA miongoni mwa wanahisa wa Jamiiforums kuna mtu anaitwa William J. Malecela. Je ni huyuhuyu wa NYC?
  15. Gottee

    JamiiForums Tanzania Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Spin doctor at his unsurpassed! Tutasikia mengi hadi mwaka 2015. Ila hili la kuwazushia MAREHEMU!!! Halivumiliki. Mi Nyerere aliniambia Mkapa lazima aniachie madaraka! Mbona sikuachiwa! Abeid Karume kabla hajafa alisema Miraji Kikwete ndiye Rais wa TZ 2015
Back
Top Bottom