Masha yuko Njema sana

Nadhani he is happy than ever before in his life. Anaishi vizuri, majumba, magari na uhuru wa kutosha. Ukimwona sasa mara nyingi ana smile tofauti na zamani alikuwa tense sababu ya stress za kazi. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Najua wengi wana chuki binafsi naye but this one dude is doing good, believe that. Way to go Masha............................

Bahati yako humu matusi hayaruhusiwi....La sivyo hasira zangu zote zingeishia kwako. Au nawe ni mmoja kati ya wanawake wengi wa Masha wa pale Nyegezi?
 
Anko acha kukopesha watu bana! Mpe mtu live afu muheshimiane baadae! ...lol!
 
he!! yamekuwa hayo? tusiseme ukweli?? Masha ni mwanasiasa anayependwa ila ni ajali ya kisiasa tu ilimkuta. Bado ana mvuto kwenye jamii na anaweza kuwa Rais mwenye mashiko sana kwa nchi hii
Kama hajakupitia basi amekuchezea sehemu nyeti,siyo bure
 
Bora umesema wewe. Kuna watu wana wivu na Masha utafikiri kawachukulia wake zao. Masha is a great politician take or leave it

Please please please, tell us more that what you have just saidi. How come you just talk nicely about him? How much did he pay you to do this? Why should people hate Masha? What make him a great politician like Mandela, Julius Nyerere, George Washington and the like?

Ungejiuliza maswali haya kabla ya ku post thread yako
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa huyu jamaa kiboko!!
 
Sure shemejiiiii Salama..lazima ajishebeduwe sababu hana tena mvuto wa kisiasa...dharau zilimjaa..waulize wanamwanza.
 
Nadhani he is happy than ever before in his life. Anaishi vizuri, majumba, magari na uhuru wa kutosha. Ukimwona sasa mara nyingi ana smile tofauti na zamani alikuwa tense sababu ya stress za kazi. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Najua wengi wana chuki binafsi naye but this one dude is doing good, believe that. Way to go Masha............................
<br />
<br />
Kama amekutuma umsafishe sawa hongera sana ila aliyechemsha kachemsha tu alipewa madaraka akjisahau akadharau wapiga kura wake wakamgeuka!
 
he!! yamekuwa hayo? tusiseme ukweli?? Masha ni mwanasiasa anayependwa ila ni ajali ya kisiasa tu ilimkuta. Bado ana mvuto kwenye jamii na anaweza kuwa Rais mwenye mashiko sana kwa nchi hii

Kwasababu Watanzania wamezoea kuchagua marais mizoga kwahiyo umeona anayo nafasi hiyo ? Sishangai maono yako kwani hata aliyempa u X uwaziri pia alikuwa na maono ya jinsi hiyo.
 
he!! yamekuwa hayo? tusiseme ukweli?? Masha ni mwanasiasa anayependwa ila ni ajali ya kisiasa tu ilimkuta. Bado ana mvuto kwenye jamii na anaweza kuwa Rais mwenye mashiko sana kwa nchi hii

Nani kakudanganya ni mwanasiasa anayependwa ? ingekuwa hivyo wangempiga chini Nyamagana ?
 
Nadhani he is happy than ever before in his life. Anaishi vizuri, majumba, magari na uhuru wa kutosha. Ukimwona sasa mara nyingi ana smile tofauti na zamani alikuwa tense sababu ya stress za kazi. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Najua wengi wana chuki binafsi naye but this one dude is doing good, believe that. Way to go Masha............................
ah wapi Masha aliutaka ubunge kwa udi na uvumbe bado ana u MISS sana Uheshimiwa ,uwaziri na lule mjengo mtukufu pale Idodomya,Masha alishaanza kuonja urojo wa madaraka halafu wewe unasema yuko happy mi kwa hilo sikubaliani ni sawa na kusema Masha baada ya kuzikosa mbivu sasa anasema alikuwa hazitaki,mh ''Sizitaki mbivu hizi''baada ya kuzikosa
 
Nadhani he is happy than ever before in his life. Anaishi vizuri, majumba, magari na uhuru wa kutosha. Ukimwona sasa mara nyingi ana smile tofauti na zamani alikuwa tense sababu ya stress za kazi. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Najua wengi wana chuki binafsi naye but this one dude is doing good, believe that. Way to go Masha............................
so what!!
 
Nachelea kujibu kwani anaweza akawa ni Masha mwenyewe huyu
 
Back
Top Bottom