Kwani Matiko Matare ni nani? ni nani huyu mpaka tumjue?
....Pia alikuwemo ndugu Kaishozi..product ya Umbwe sec kipindi hicho(yeye na Nshala)...
Na mtu mmoja anaitwa Haroun Kimaro naye yupo wapi jamani?
Kwa taarifa yenu Bazigiza alishafariki na mazishi yake nilihudhuria
kweli tulimzika pale kwa mchamba wima
Hapo tatizo ni upeo wa maprofesa wenu sio ushujaa wa msababisha migomo.
Weka ushahidi tuamini hali hiyo.
Kama asingeongoza mgomo huo mtazamo wa Maprofesa ungebadilika vipi?
Taarifa kwa wanajf,
MATIKO MATARE aliyewahi kuongoza maandamano makubwa chuo kikuu cha dar (UDSM) miaka ya 1990 na kusumbua serikali ya rais Mwinyi pamoja na jaji Warioba, ni mzima wa afya na yupo mkoa wa Ruvuma,tena ni katibu wa kanda ya kusini wa CHADEMA kupitia uchaguzi uliofanyika tar. 17 july 2013 siku ya uzinduzi wa kanda chini ya m/kiti wa CHADEMA taifa MH. Mbowe.
Hivyo kwa wale wanaojua kuwa alifariki si kweli.
Huyo anafaa kuwa chadema kwa sababu chadema wamespecialize kwenye maandamano ya kugomea shughuli za maendeleo...
Huyu Bwana Matiko Matare mara ya mwisho katufundisha Musoma Tech High School 2003-2004 then usalama wakamuondoa akahamia Mwembeni Sec, after that alinambia personally 2007 tukiwa Musoma na baadaye pale UDSM kuwa anasoma Masters Open na alikuwa mbioni ku-secure Scholarship MISRI. Ni mpambanaji na hakika alitufundisha kujua na kutetea haki zetu; sishangai kusikia yupo CHADEMA!!! Nice to get his Mobile number, tutamtafuta.
Basi kama ni kweli kuwa kaingia Chadema, basi ni lazima atakuwa yuko frustrated na watamfrustrate zaidi.
Kama asingeongoza mgomo huo mtazamo wa Maprofesa ungebadilika vipi?
We nae kama umeishia ngumbaru hayo ni matatizo yako. Usiwaonee kijicho waliofika vaste.Kwahiyo chuo chenu maprofesa wanaongozwa kwa mgomo!!!