TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

kuna mtu hapo juu kasema kuwa mwanae kapewa tenda ya kusupply suti pale wizarani sidhani kama kuna ukweli kwenye hili maana nijuavyo mie kuwa yule
dogo tangu aoe mdhungu huko USA hana shida ya kugombania tenda za suti

Lakini pia tusisahau kuwa huu huyu Blandina allipokuwa Accountant General alikuwa hana uhusiano mzuri na TDPF lakini nyepesi nyepesi ni kuwa alikuwa anafanya mambo ambayo yalikuwa yanaweza kusomeka kama treason sijui kile kimbembe chake kiliishia wapi

Zaidi ya hayo kuna habari amekuwa akimpiga presha JK ampe cheo kikubwa zaidi kwani vyeo alivyopewa ni chini ya "standards zake"

BTW ...Hivi JUMANNE MAGHEMBE bado anaendelea kula mzigo au keshaachia?

Mkuu kwenye red ya kwanza: Najiuliza ukioa mdhungu unakuwa hutaki tena hela au? Fedha fedheha mkuu.

Red ya pili una maana TPDF au? Tudadavulie basi tujue huo uhaini ulikuwaje mkuu
 
Mkuu kwenye red ya kwanza: Najiuliza ukioa mdhungu unakuwa hutaki tena hela au? Fedha fedheha mkuu.

Red ya pili una maana TPDF au? Tudadavulie basi tujue huo uhaini ulikuwaje mkuu

hili la Nyoni kugombana na wakulu kule JWTZ lina ukweli na si mara ya kwanza kuliskia

habari ndio hiyo
 
anyway back to blandina

Huyu mama ni FISADI tena NYANGUMI kwani kila mtu anajua piga dili la Epicor to run government accounting, a software package better suited for manufacturing and distribution industries. Its no wonder the current CAG Ludovick Utouh is uncovering gross misappropriations in government accounting.

Mama Nyoni and local vendor Softech have reaped a lot of money from this deal - 2006-07 alone they have made up to USD 8-9 million in just training alone. She personally recommended Epicor and the local vendor Softech to the Malawi, Lesotho and Gambia governments, using government letterhead!

Visit many of the governmental parastatals in Dar and many say it is a hassle to work with this software, upgrades and training are expensive, customer service very poor, and if you get it, very expensive. She is gone now from Hazina where she ruled with an iron fist - and there began a mini stampede away from Epicor.

Tusisahau kuwa huyu asili yake kama alivyo mkulo, Luhanjo and the likes ni MALAWI

mhh hii umeitoa wapi?

infact inasemekana mama alikula over $30 million

ama kweli JF hamuwezekaniki
 
Kama kuna ukweli kwamba DR Dau ana ukabila basi kwa unyeti wa TRA hafai kukaa CEO wa TRA

wasi wasi lazima uwepo jamaa ni mtu wa performance na sasa akienda pale itakuwa yale yaleee ya kufumua fumua TRA kama alivyofanya NSSF na hii itawaletea tabu sana wafanya biashara wa Kihindi, HOME SHOPPING CENTRE na bila kuwasahau wengine wanao kwepa kodi

akienda pale atawanyoosha lakini pia nina wasi wasi kama atapewa hiyo nguvu ya ku hire & fire
 
Dr. Ramadhani Dau!Anatuhuma za Kuendekeza Udini ile Mbaya!Kwa Kifupi ni Mdini

Mdini ukiwa na maana gani? Ofisi yake ameajiri mashehe na waislamu pekee? Amefungua madrasa na msikiti? Anatumia kitabu cha dini yake kuendesha ofisi? Acheni ulimbukeni nyinyi. Mlitaka Dr Dau aishi kihuni, awe anaonekana Bar, kwenye vilabu vya starehe na anasa mbali mbali ndio angeonekana mtu safi? Hichi kizazi cha ajabu sana. Ili ukubalike na watu unatakiwa usifuate mambo ya mungu na usiwe unafanya ibada
 
8.jpg

to be honest I care less about dini yake

kama anaweza kudeliver then be it
 
Mdini ukiwa na maana gani? Ofisi yake ameajiri mashehe na waislamu pekee? Amefungua madrasa na msikiti? Anatumia kitabu cha dini yake kuendesha ofisi? Acheni ulimbukeni nyinyi. Mlitaka Dr Dau aishi kihuni, awe anaonekana Bar, kwenye vilabu vya starehe na anasa mbali mbali ndio angeonekana mtu safi? Hichi kizazi cha ajabu sana. Ili ukubalike na watu unatakiwa usifuate mambo ya mungu na usiwe unafanya ibada

Mkuu siyo suala la ibada abadani. watu wanasema Dau anawapendelea wislamu pale NSSF. Si sula la kuishi maisha ya kiungwana bali hulka yake ya kupendelea Waislamu. Suala si kuvaa kanzu bali kuwapendela waislamu shekhe wangu. Suala siyo kwenda kwenye vilabu vya pombe balli watu wanasema anawapendelea waislamu wenzake waliopo NSSF.
 
Magori ni Mkiristo na kwa jina naona ni Mkurya! Dau ni mzaramo toka Mafia na ana udini wa kufa mtu. Wakristo ambao wapo NSSF wanalia kila kukicha. Akienda TRA ataivuruga itakuwa afadhali ya tuhuma za uchaga

haya hebu lete hizo tuhuma zinatoka kwa nani na wanalalamika vipi?

I mean imagine mtu kama magori alikuwa jr staff sasa hivi naye analobby awe CEO na ni mkristo

Then kuna Eunice Chiume (huyu kwa sasa I will rest my case)

lete huo udini wa Dau NSSF tuone na pia nimeomba utuletee performance yake ikoje alipoingia NSSF na sasa ilipo NSSF
 
Mkuu siyo suala la ibada abadani. watu wanasema Dau anawapendelea wislamu pale NSSF. Si sula la kuishi maisha ya kiungwana bali hulka yake ya kupendelea Waislamu. Suala si kuvaa kanzu bali kuwapendela waislamu shekhe wangu. Suala siyo kwenda kwenye vilabu vya pombe balli watu wanasema anawapendelea waislamu wenzake waliopo NSSF.

Lete performance stats ndio tumjudge

mbona husemi kitu kuhusu hizo tuhuma dhidi ya Blandina?
 
Lete performance stats ndio tumjudge

mbona husemi kitu kuhusu hizo tuhuma dhidi ya Blandina?

Ngoja niwasiliane na jamaa zangu wa NSSF wanipe nondo nizimwage hapa. Blandina nimeongelea kuhusu post ya Luhanjo kuteua watu wa Iringa
 
Back
Top Bottom