Recent content by Gooodwin

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani ya zilipendwa ukizisikiliza moyo unatulia?

    Wadau kuna wimbo unaitwa Nalilamasumandae huko ulipo ni mbali, kama kuna mtu anao anisaidie
  2. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa Ongezeko la Asilimia Mshahara!

    Tukubali,, Tanzania kuongeza Mishahara kwa asilimia 23%,, kwa Wafanyakazi wote ni ndoto za Abunuasi. Hapo kilichowekwa wazi ni Benchmark ya kima cha chini tu tu kwamba ni 23%,, hii statement '' ikiwemo kima cha chini kwa asilimia 23" muielewe vizuri. Yani hapo kila scale ina percent yake sema...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za CPA, NBAA kwa level ya foundation

    Habari zenu wataalam, kwa kifupi Mimi kwa level ya bachelor nilisoma Economics ila napenda sana niwe na CPA na ninataka january nianze kujifua kwa ajili ya mitihani ya mwezi mei. nimeangalia gharama za Review class pale CBE kwa level ya foundation (masomo 5 ) ni Tshs 400,000. wadau nimekuja...
  4. G

    JamiiForums Tanzania WHEY PROTEIN GOLD STANDARD VS NITRO TECH SUPLIMENTS

    Zote 180,000/=
  5. G

    JamiiForums Tanzania WHEY PROTEIN GOLD STANDARD VS NITRO TECH SUPLIMENTS

    Kwa wale ma body builders, jamani na mimi nataka nile suppliments niwe mbavu nene kama nyie, ipi ni nzuri kati ya hizi mbili? Naomba maoni yenu.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa na elimu ya kiwango gani kuwa Polisi

    PHD Yenyewe ya Bongo, PHD kasome UK, GERMANY. SEDEN, DENMARK,USA atleast MIMI PHD BONGO HATA BURE SISOMI.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa na elimu ya kiwango gani kuwa Polisi

    MKUU KASOMEE UFUNDI MAKANIKA HATA UKIWA NA LA SABA YAKO, WATAKUCHUA TU. ILA USIWE HIV+.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Maswali gani wanapendelea kuuliza kwenye usaili TRA?

    WE KOMAA NA CONTEMPORARY ISSUES, MAANA KATIKA WRITTEN INTERVIEW HAWATABIRIKI. CHA KUHUZUNISHA NI KWAMBA WE UTAKOMAA LAKINI KUNA WATU MASWALI YA MITIHANI WANAYO, KAMA MIMI ILIVYOTOKEA KATIKA INTERVIEW YA MWISHO NILIYOFANYA TRA, JAMAA NILIYEKAA NAE PEMBENI VITU ALIVYOKUWA ANASONA NDIO HIVYO...
  9. G

    JamiiForums Tanzania FIFA world mens football Ranking, why two teams hold the first place?

    ok, hapo nimekupata Mkuu mi nilijua sababu france ndio championship basi lazima awe namba moja.
  10. G

    JamiiForums Tanzania FIFA world mens football Ranking, why two teams hold the first place?

    ok, hapo nimekupata Mkuu mi nilijua sababu france ndio championship basi lazima awe namba moja.
  11. G

    JamiiForums Tanzania FIFA world mens football Ranking, why two teams hold the first place?

    Nimeangalia FIFA world Mens Football nafasi ya Inashikiliwa na Belgium na France naombeni Ufafanuzi wataalam.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu laptop

    Hbari za weekend. wakuu kwa yeyote anaefahamu uzuri na ubaya (pro and cons) za macbook pro naomba anijuze. ( kwa kifupi mimi ni mzoefu wa kutumia pc za window, hivyo basi nimeona nisikurupuke pasipo ushauri wenu wadau.
  13. G

    JamiiForums Tanzania KUTUMA COPY ZA UHAMISHO TAMISEMI.

    Habari za mihangaiko wataalam, naomba kuuliza kwamba baada ya taratibu za kuomba uhamisho TAMISEMI Kufika kwa RAS (Katibu tawala mkoa), je kuna ubaya nikituma copy zangu kwa njia ya EMS kule makao makuu Dodoma.maana nasikia ofisi za RAS huwa wanachelewesha kuzituma documents kule makao makuu...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na Vifo. Waitaka Tanzania kuheshimu Demokrasia na Utawala wa sheria

    Tuweke pembeni uchadema na uccm, kimsingi kila binadamu anayo haki ya kuishi humu duniani na hakuna binadamu aliyezaliwa kwa bahati mbaya wote tumezaliwa kwa mipango ya mwenyezi mungu. Kwa kweli inauma sana kuona binadamu anadhulumiwa uhai wake kwa ajili ya siasa na uchama. Mwenyezi mungu...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Application for Masters and PhD (2018/2019) is now open at UDSM

    Kwa wale ambao wanaplan ya kusoma Masters na PhD pale Mlimani ( University of Dar es salaam) kwa mwaka huu 2018 tayari wameanza kupokea maombi. deadline tar 30/05/2018.
Back
Top Bottom