Naombeni ushauri kuhusu laptop

Naombeni ushauri kuhusu laptop

Gooodwin

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
78
Reaction score
66
Hbari za weekend. wakuu kwa yeyote anaefahamu uzuri na ubaya (pro and cons) za macbook pro naomba anijuze. ( kwa kifupi mimi ni mzoefu wa kutumia pc za window, hivyo basi nimeona nisikurupuke pasipo ushauri wenu wadau.
 
Mkuu inategemea na matumizi yako je unataka kuitumia kwa ajili ya kazi,masomo au just leisure
 
Hbari za weekend. wakuu kwa yeyote anaefahamu uzuri na ubaya (pro and cons) za macbook pro naomba anijuze. ( kwa kifupi mimi ni mzoefu wa kutumia pc za window, hivyo basi nimeona nisikurupuke pasipo ushauri wenu wadau.

1. macbook pro zipo nyingi sana, kuna mpya na za zamani, hivyo usitegemee utafute tu random macbook pro ununue ikutimizie mahitaji yak. unaweza ukapigwa mchana kweupe. ni vyema ukaangalia internal specification zake na ulinganishe na matumizi yako.

2. Macbook official zinakubali kuweka windows. hivyo unaweza uka dualboot windows na osx pamoja.

ungetaja matumizi yako ingekuwa vizuri.
 
Mkuu me laptop yangu ina stuck baada ya kuiwasha inaweza ikawaka vizuri tu ila baada ya dakika moja inagoma kufanya chochote hadi niizime na kuiwasha mara kibao ndo ikubali tatizo linaweza kua nini mkuu
 
Hbr Chief
Nimekupm.
Kunabjambo nahitaji unisaidie
 
Mkuu me laptop yangu ina stuck baada ya kuiwasha inaweza ikawaka vizuri tu ila baada ya dakika moja inagoma kufanya chochote hadi niizime na kuiwasha mara kibao ndo ikubali tatizo linaweza kua nini mkuu
jaribu kuiwasha kwenye safe mode, ikiwaka vizuri ni tatizo tu la software uki re install windows litakwisha. ila kama hadi safe mode ina nata nata pengine ni hardware kitu kama Hard disk inaanza kufa.
 
Okay Shukrani mkuu
 
Hbari za weekend. wakuu kwa yeyote anaefahamu uzuri na ubaya (pro and cons) za macbook pro naomba anijuze. ( kwa kifupi mimi ni mzoefu wa kutumia pc za window, hivyo basi nimeona nisikurupuke pasipo ushauri wenu wadau.
Lengo wataka kuifanyia shughuli gani mkuu?
Unaweza run windows pia humo humo.
Ni pc nzur sana sana mkuu ila upate nzuri ya kuanzia walau 2009 kupanda juu siyo yale ya zaman
 
jaribu kuiwasha kwenye safe mode, ikiwaka vizuri ni tatizo tu la software uki re install windows litakwisha. ila kama hadi safe mode ina nata nata pengine ni hardware kitu kama Hard disk inaanza kufa.
Habari Chief-Mkwawa! laptop yangu inatatizo kwenye keyboard yani kuna baadhi ya buttons ukibonyeza hazi display kwenye screen ila zinabonyezeka, buttons zingine zinafanya kazi vizuri tu. Naomba msaada wako. Samahani kwa usumbufu!
 
mara nyingi ni tatizo la hardware mkuu. ukimwagia kitu kwenye keyboard pia inaweza sababisha. sometime ukisafisha keyboard inaweza kukaa sawa na wakati mwengine hadi ubadili keyboard ndio inakubali.
 
Back
Top Bottom