KUTUMA COPY ZA UHAMISHO TAMISEMI.

KUTUMA COPY ZA UHAMISHO TAMISEMI.

Gooodwin

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
78
Reaction score
66
Habari za mihangaiko wataalam, naomba kuuliza kwamba baada ya taratibu za kuomba uhamisho TAMISEMI Kufika kwa RAS (Katibu tawala mkoa), je kuna ubaya nikituma copy zangu kwa njia ya EMS kule makao makuu Dodoma.maana nasikia ofisi za RAS huwa wanachelewesha kuzituma documents kule makao makuu Dodoma.

Natanguliza Shukrani za dhati.
 
Back
Top Bottom