ok, hapo nimekupata Mkuu mi nilijua sababu france ndio championship basi lazima awe namba moja.Ni Logic ya kawaida tu...Fifa utoa points kulingana na matokeo ya mechi za kimataifa zipochezwa.
Hapo ina maana France na Belgium zina points sawa.