WHEY PROTEIN GOLD STANDARD VS NITRO TECH SUPLIMENTS

Pips Man

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Messages
1,166
Points
2,000

Pips Man

JF-Expert Member
Joined May 9, 2014
1,166 2,000
Kwa wale ma body builders, jamani na mimi nataka nile suppliments niwe mbavu nene kama nyie, ipi ni nzuri kati ya hizi mbili? Naomba maoni yenu.
Hii kitu naona inapata wafuasi kadri siku zinavyoenda vipi haina madhara.. tuitumie na vipi bei yake?

Maana kila mwanaume rijali anapenda awe mbavu nene kuna raha yake ukivaa nguo inakaa Mahalia pale..
 

Forum statistics

Threads 1,392,235
Members 528,573
Posts 34,102,550
Top