Recent content by Goodluck Joel

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatafuta mume

    Tuma picha tukuone.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Focus Saanane: Ninamtaka Mwanangu Ben akiwa hai, amlaumu Mbowe

    Mimi naamini inawezekana kabisa Mbowe na Mamvi wanahusika na kupotea kwa Ben inawezekana kabisa tunawasingizia Polisi na kama siyo Mbowe basi ni usalama wa taifa.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Waganga feki wahaha kutafuta wateja kwa nguvu

    Matapeli hao hata mimi walishanisumbuaga sana mpaka wakachoka wenyewe baada ya kuona siingiliki.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    Dah umenikumbusha mbali sana hihihi
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hatari wakuoa!

    Umesahau Polisi.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Eti kazi ya upelelezi ni elimu ya darasani au na uchawi upo?

    Uchawi unatumika kama ikibidi.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini ITV mmetuletea ripota mtoto Richard Steven

    Watu kama nyie ndiyo mnasababisha vijana wenngi kukosa ajira wakisota na vyeti vyao mitaani.
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

    Tatizo lao ni umalaya mwingi,ubishi kwa sana ni wagumu kueleweshwa kitu na wakakubali haraka na pia sio wavumilivu katika mahusiano au ndoa pale hali ya uchumi inapotetereka kwa mwanaume ni wepesi sana kusaliti ndoatena wanaona ni haki yao kabisa kisa biashara imetetereka kidogo ila kwa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini vitu vingi vinavyoanza na herufi "K" ni vitamu sana?

    Kitimoto,keki,kachumbari ila kiroba siyo kitamu
  10. G

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya umbo la mtu na IQ (uwezo wake wa kuelewa mambo) yake

    Wanawake wenye mapaja manene na makalio makubwa huwa wanazaa watoto Genius au wenye akilim
  11. G

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi

    Aanze mazoezi ya kupunguza shavu kwanza
  12. G

    JamiiForums Tanzania Masharti ya waganga feki wa kienyeji hayatekelezeki

    Nimemuuliza Mwanasheria mmoja ameniambia ule unaitwa wizi wa kuaminiwa umemuamini ukampa pesa ili akufanyie kitu fulani mwishoni akaingia mitini au akafanya ndivyo sivyo na ili ufungue hiyo kesi lazima kwanza ukaongee na OCS umuelezee na mjadili aone kama anaweza kuruhusu ufungue kesi au laa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Masharti ya waganga feki wa kienyeji hayatekelezeki

    Hivi sheria zinasemaje kwa hawa waganga matapeli ikitokea amekutapeli pesa nyingi sana kwa nia ya kukusaidia jambo fulani kumbe hawawezi hivi unaweza kwenda Polisi na kuwashitaki kweli na polisi wakakusaidia kuwakamata au Polisi wanaweza kukugeuzia kibao labda hayo mambo hayaruhusiwi hebu...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa ajira

    Wengi sana sasa hivi kila sekta imejaa matapeli ni kuwa makini tu maana wana mbinu za hali ya juu
Back
Top Bottom