Uhusiano kati ya umbo la mtu na IQ (uwezo wake wa kuelewa mambo) yake

JUGO

Member
Oct 10, 2013
87
46
Wana saikolojia na watafiti wa tabia na makuzi ya binadamu wamedadavua namna ya maumbile ya mtu unaweza kujua uwezo wake. Mfano kama unataka kuoa/kuolewa au kuajili waweza kuangalia picha au physical body na kuamua kusuka au kunyoa.

Macho makubwa Kwa KE/ME
Watafiti wa China wanaamini mtu mwenye macho makubwa ana IQ kubwa.

Pua mwanamke ya duara ndogo

Ni wema asili na wajanja, kulingana na utafiti wa zamani wa physiognomy ambayo inaonyesha sifa za kimwili sura utu.

Pua moja kwa moja ya urefu wa kawaida
Humfanya mwanamke aonekane mzuri, ana asili ya busara na bidii.

Ulefu kati ya Kidole kidogo cha mwisho (index) na kidole cha pete
Wanaume wenye kidole kidogo cha mwisho (index finger) kifupi wana IQ kubwa
Wanawake wenye urefu wa hivi vidole karibu sawa kwa urefu ndio wenye IQ kubwa. Hii ni kwa mjibu wa utafiti katika Chuo Kikuu cha Bath..

Mwili wenye Nywele

Nini ishara ya akili nyingi kwa wanaume, kulingana na utafiti wa Dk Aikarakudy Alias wa chuo kikuu cha afya Chester, Illinois. Alipata asilimia 50 ya wanaume na IQs juu walikuwa nywele ikilinganishwa na wengine.

Big toe /kidole cha mguu kikubwa

Utafiti wa Warumi na Wagiriki unaamini watu wenye big toe wana akili sana mpaka uzeeni.

Paji la uso Kama ni pana
Mtu huyu ni mkarimu, ana akili na busara na huishi umri mlefu tofauti na wenye uso mfupi ambao wengi hufa kwenye ujana utafiti Chuo Kikuu cha Stanford kupatikana kiungo kati ya kuwa mirefu na IQ katika utafiti wa watoto 14,000.
 
Humo kwenye red kuna utata
 
Na Wanawake wenye makalio makubwa je?
hii mkuu inaangukia kwenye kundi la unene wa mwili,
na wanazuoni wanasema kadili mwili unvyokuwa mkubwa na uwezo wa kiakili unapungua, ubongo unashindwa kufanya kazi sawasawa.
The greater your weight is, determine the lower your IQ
 
Binafsi Nimejitahidi Sana Kurudia Rudia Kusoma Bandiko Lako. Ila Ukweli Ni Kwamba Hadi Muda Huu NIMETOKA KAPA.
mkuu unachotakiwa ni kulinganisha uhalisia wa hivyo vipengere na jamii yetu, kwa mfano kichwa kikiwa bapa kwenye jamii yetu tunasema huyu mtu ana matatizo ya akili au sio?/
vipo baadhi kwa jamii yetu vinaweza visiwe na uhalisia maana mwafrika,mzungu,mwarabu na mchina tunatofauti sana katika maumbo.
mfano wachina wengi ni wafupi na wazungu wengi ni walefu...mzungu katika tafiti zake anadai watu walefu sana mostly wana IQ nzuri...hii ni kwa jamii ya kizungu sanasana.
na mchina akaja na kudai watu wenye macho makubwa wana IQ nzuri.....kwa jamii ya kichina hiki kigezo sawa.
katika jamii zetu pia kuna baadhi ukilinganisha uhalisia upo.
mfano mtu mwenye uso mfupi, mtu mwenye umbo kubwa, etc hii unaweza kupata jibu kutoka katika jamii yako mkuu......
 
hii mkuu inaangukia kwenye kundi la unene wa mwili,
na wanazuoni wanasema kadili mwili unvyokuwa mkubwa na uwezo wa kiakili unapungua, ubongo unashindwa kufanya kazi sawasawa.
The greater your weight is, determine the lower your IQ
Ni kweli mkuu. Angalia mabonge nyanya. Muda mwingi kulala ovyo na kuwaza kula
 
Huu utafiti sijawahi kubaliana nao as nikiangalia watu ambao mama zao wana ma wezere takwimu yangu inanipa jumla ya watoto wenye akili za kawaida saaana
 
Kiukweli mahusiano yapo makubwa kati ya muonekano wa sura ya MTU na uwezo wake wa akili.
Zipo sura mbili kila nikiziangalia napata jibu moja kuwa yawezekana. Nawaomba nanyi tazameni kwa makini muone kama hakuna kitu kina walakini hapo. Sura hizo ni za Kigwangwala na Makonda. Ukizitazama na kuchunguza tabia zao utakuja na jibu Fulani. Nawaachia
 
Chunguzeni wanawake wanaovaa vipini puani,halafu wanaopaka lipstik ya kijivu midomoni mtagundua tabia zao.
 
Back
Top Bottom