AiseeAcha unafiki wewe najua upo kwenye hilo kundu hapo juu.
HE is just a prayer away.Naomba namba ya simu ya huyo bwana anayetoa mwanamke mwema nami anipe aliye mwema.
Fanya maombi na Sara za kutosha....fungaNaomba namba ya simu ya huyo bwana anayetoa mwanamke mwema nami anipe aliye mwema.
Familia bora siyo lazima wenzi wote wawe na kazi za kuajiriwa kama hizo ulizotaja hapo juu. Mwanamme anaweza oa binti asiye na kazi ila akamsaidia kujiajiri kwa manufaa ya familia.



Mkuu afadhali umetoa somo la uhakika!!!Mwanamke yeyote ni hatari kuwa naye kama hujiamini.
eishh!Acha unafiki wewe najua upo kwenye hilo kundu hapo juu.
me too my doll...!!Upo mama? Mekumithi.
Kujiamini ni power of ignorance. Women are the serial killers of the mans confidence kama utaliangalia hilo kwa umakini.Mwanamke yeyote ni hatari kuwa naye kama hujiamini.
Una maanisha nini hasa ukisema mtu ajiamini?Wanaume hebu mjiamini jamani.
Sifa ya uanaume inazidi kupungua.
'Wanawake wa siku hizi'.Una maanisha nini hasa ukisema mtu ajiamini?
Tatizo wanawake wa siku hizi mmejustify usaliti kuwa ni jambo la kawaida. Kujiamini sana kunasababisha uonekane ndezi to my perspective, it means ignoring the red flags!
Co semina tu hata wanakoenda kusahisha... Kulikuwa na mwalimu toka moshi(wa kike)shule moja maarufu na kubwa akaenda kusahisha mtihani wa form two Tanga ndani ya siku hizo alikutana na mwalimu kutika arusha somebody ng'aida na pamoja na ubze wote lakini bado mwalimu shayo alibaduliwa kwenye mazigira hayo na baada ya kusahisha wakapumzika zaidi ya cku mbili tanza..was 2013.. Hakuna cha walimu hapoHujahudhuria semina za walimu wewe,tuulize sisi walimu tunajuana aisee
Ha ha ha amna aisee, ni mtazamo tu maana mtu anakwambia jiamini bhana wakati unaona kabisa there is something fishy going on'Wanawake wa siku hizi'.
Naona wanaume mmebaki kuwa wa zamani, basi oeni wanawake wa zamani maana wao hawana hizo red flags.
Alafu unapenda kugeneralize wewe, ulisalitiwa na mmoja basi wanawake wooooote wasaliti,khaaah!!!