Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Teh teh hatari kabisa.Hahahaaa acha tuu nikisikia Mnyakyusa ndio picha inayonijia kichwani.
Teh teh hatari kabisa.Hahahaaa acha tuu nikisikia Mnyakyusa ndio picha inayonijia kichwani.
Douta utanipa Majumuhisho ya hii madaTeh teh hatari kabisa.
Ni wababe WanyakyusaNishawahi kuwa na demu wa kinyakyusa nilimpendea ile injini ya pale nyuma ilivyokuwa kubwa sasa kunasiku akanikuta na kamchepuko kangu ka kipare hapo gheto duh yule demu alikuwa mbabe aisee sio kwa yale mabanzi mpare wa watu aliyachezea mpaka nawaachanisha alikuwa kalowa kwa nakozi na mimi full kutishiwa na kimwili changu nikapoa demu mbabe kama Van dame ila likuwa mtaaamu sana kwenye maswala ya mgegedano.
Mh! We jamaa ushawahi kuishi mbeya bila shakaMnyakyusa hata unipe bure na milioni moja juu sichukui ni malaya wa kupindukia,alafu wanatoroka na watoto hasa ukiwa sio kabila lake,alafu watoto wanapachikwa majina ya kinyakyusa na kuongea lugha ya kinyakyusa badala ya lugha ya baba.yaani hovyooooo! Mabasha zake watakuja hadi kwako unadangwa kaka zangu.nimewala sana wanyakyusa kama 21 nawajua sanaa! Alafu ni wanafiki.
Hahaha daddy u know us better lolDouta utanipa Majumuhisho ya hii mada
Teh teh..Hapo kwenye sura ngumu nimegomaHahaha daddy u know us better lol
Hahaha wanaleta mazoea Eeeh. Teh ila nimecheka huyo demu wa kipare aloshushiwa mabanzi teh tehTeh teh..Hapo kwenye sura ngumu nimegoma
Teh teh..Mwanamke mwenye timbwili kama hilo ndo wa kuoa sasa..Hapo hata kidume nawe ukitaka kuchepuka unajifikiria mara mbili...Sio unaoa mwanamke anasikia umechepuka unamkuta amejifungia chumbani analiaHahaha wanaleta mazoea Eeeh. Teh ila nimecheka huyo demu wa kipare aloshushiwa mabanzi teh teh
Hahaha daah nacheka kama mazuri vile, kumbe unapenda wakorofi eeh ndo maana ukampata atoto. Ngoja mkweo akicheat, utamkuta na manundu tu kwa nakozi ntakazompa hahhaha uwiiiTeh teh..Mwanamke mwenye timbwili kama hilo ndo wa kuoa sasa..Hapo hata kidume nawe ukitaka kuchepuka unajifikiria mara mbili...Sio unaoa mwanamke anasikia umechepuka unamkuta amejifungia chumbani analia
Teh teh..@atoto kelele nyingi nje tu..Akiwa ndani mpole kama kinyonga....We lete ukorofi huko halafu urudishwe nyumbani..Ntakulaza storeHahaha daah nacheka kama mazuri vile, kumbe unapenda wakorofi eeh ndo maana ukampata atoto. Ngoja mkweo akicheat, utamkuta na manundu tu kwa nakozi ntakazompa hahhaha uwiii
Hahaha unadhani atanirudisha sasa, sirudi ng'ooo. atoto sijui umempa nini, kanyweaaaTeh teh..@atoto kelele nyingi nje tu..Akiwa ndani mpole kama kinyonga....We lete ukorofi huko halafu urudishwe nyumbani..Ntakulaza store
Hahaha daddy una mbwembwe, tajiri wa mahaba kwani umezaliwa Tanga na wewe?Teh teh..Bora usirudi..Mana chumba chako nishapangisha...
Matajiri wa mahaba town tuko wawili tu..Mimi na Cassim Mganga..Unataka aende wapi tena
Teh teh..Tanga cha mtt..Nimezaliwa IndiaHahaha daddy una mbwembwe, tajiri wa mahaba kwani umezaliwa Tanga na wewe?
Hahaha mambo ya mohabattein.... main tumse pyar karthee hoonTeh teh..Tanga cha mtt..Nimezaliwa India
Hhaha!! We mtt mbona mwizi hivyo..Nani kakufundisha lugha hiyoHahaha mambo ya mohabattein.... main tumse pyar karthee hoon
Mmh mimi na wahindi, ndo favorite movies zangu tangu Nipo mdogo. Siku hizi tu ndo najikuta nazipotezea kidogoHhaha!! We mtt mbona mwizi hivyo..Nani kakufundisha lugha hiyo
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.