Recent content by Gonde Nkaka

  1. G

    Vigogo na Wanasiasa waliofaidika na Fedha za Ufisadi wa IPTL hawa Hapa

    Ni uongo kama ulivyokuwa na ulivyo uongo wa EPA
  2. G

    Natafuta Ng'ombe wa maziwa

    Tanga njia rahisi kupata nenda Tanga Fresh kiwandani omba kuonana meneja atakuelekeza au hapo mjini mtafute Bw. Mahadhi Meneja wa Union ya wafugaji au nenda Maramba kutana na viongozi wa Ushirika wa wafugaji utapata bila shida
  3. G

    Barua Ya Wazi Kwa Wafanyakazi Wote, Maswali Sita Muhimu Ya Kujiuliza

    Bado sijajiunga na ninataka sana kujiunga
  4. G

    Usiache kazi sababu ya mapenzi

    Hata ikibidi kuuza uchi wako ? hata ukimwasi MUNGU ? Baba yupi hamtakii mema mwanae
  5. G

    Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

    Ukitaka kujua aina ya watu na uwezo wao wa akili pima michango ya mawazo yao. Hapa naona kama Simba ,Yanga na Okwi. Toeni maelezo yanayoeleweka. Kwa lipi ? Fedha mnazopewa au ? Mtakula siku ngapi za kupewa ? Kumbukeni" .. .amelaaniwa amtumainiye mwanadamu.. "
  6. G

    Ushauri: Nimepanga karibu na madanguro ya machangudoa hapa Mwananyamala

    Dar es salaam chuo cha kipumbavu Kwa wapumbavu. Pachafu,uovu mwingi,dhuluma eti ndiyo ujanja wa mjini. Unataka kujua watu wake wakoje soma michango yao,angalia matendo yao. Dsm yapaswa kuombewa na kufunzwa haina chembe ya kuwa mwalimu mzuri Kwa wanetu isipokuwa waliochagua uovu Kuwa urithi wao...
  7. G

    Huyu jirani anapiga sana mtoto,wapi turipoti,na je itakuwa inanihusu?

    Mnapimaje mzazi anayeonya Kwa viboko na anayemtesa ?kuna mchangiaji amehoji watoto mashoga wanatoka wapi ? na wazazi wao wafanywe nini ? Naongeza maswali, je kama kuna mzazi watoto wote wezi,wabwia unga,wavivu,Malaya,hawataki shule wafanywe nini ? Au wazazi wa kundi hili wapewe tuzo ya malezi...
  8. G

    IPTL yamdai Zitto bilioni 500 mahakamani

    Mugabe mwanaume wa kweli aliyesalia km kiongozi Afrika. Mwizi anamwita mwizi haogopi rangi yake wala kubembeleza msaada wake. Tatizo letu mwizi akipanda ngazi na kutuibia tunamwita mjanja. Jeshi letu la kweli lililomkimbiza Smith, Mreno na Kaburu bila kupokea hongo au fedha zao limepotelea wapi...
  9. G

    TAFAKURI CHOKONOZI: Utafiti unaopingana na maandiko ya Mungu

    Tatizo la wengi wetu kudhani kila kitu cha mzungu ni sahihi. Mtoa mada katukumbusha wajibu wetu wazazi Kwa busara kubwa. Ni suala tu la kuchagua kuwa mkweli au mwongo. Bila malezi mema watoto hupotoka. Fimbo ni sehemu ya malezi. Kila mmoja wetu anaweza kufanya utafiti Kwa kutumia malezi yake na...
  10. G

    Siri ya mafanikio katika maisha

    Mpumbavu hata ukimtwanga kwenye kinu pamoja na ngano upumbavu wake hautamtoka. Usibishane na mpumbavu usije kufanana naye. Mtoa mada katoa mawazo mazuri kufundisha mchangiaji anaanzisha matusi. Changia,ping a au boresha. Matusi faida yake nini ?
  11. G

    Unabii wa TB Joshua watimia

    Hata Elia alibishana na manabii wa Baali. Kukomesha ubishi akawaalika kuthibitisha MUNGU wa kweli hadharani. Akawataka watangulie kumtolea sadaka Mungu wao na ajithibitishe Kwa kuzipokea. Tunajua yaliyotokea. Elia alimwomba MUNGU wake ajithibitishe Kwa kuipokea sadaka yake. MUNGU wa kweli...
  12. G

    Ukweli kuhusu maisha ya watanzania walioko ughaibuni

    Kama Ulaya kuzuri mno si muhamie. Mkipata uraia wa huko kuzuri Uraia pacha wa nini.? Na wazungu matajiri waliotoka nchi za kitajiri wanakuja huku kufuata nini? Je wanakuja kuonja ladha ya umaskini? Tatizo nililolibaini tumejifunza kukariri siyo kuchanganua. Ndiyo maana vitu vyetu vyote...
  13. G

    Utofauti mkubwa wa mishahara baina ya kada na kada serikalini kwa nini?

    Ndiyo faida ya elimu ya "copy and paste". Hili si suala la Tanzania tu. Dunia nzima fani yenye wataalam wachache haiwezi fanana na fani yenye mafuriko ya wanataaluma. Kumbuka darasani popote ulipokuwa wangapi walipenda namba zaidi ya talalila ? Ushauri mzuri umetolewa kama umeelimika jiajiri...
  14. G

    Ushauri biashara ya kufyatua matofali

    Tofali za aina gani? Za kuchoma,Saruji au mchanganyiko wa. Saruji na udongo. Siyo fani yangu ila najua baadhi ya aina za tofali
Back
Top Bottom