TMT ya Lwekaza fisadi anasoma risala!

TMT ya Lwekaza fisadi anasoma risala!

So inakuwaje sie tulikuwa tunacheki show mengine yakwao, kivyenu
 
Mleta mada haeleweki na tunaona ana muelkeo wa kuvaa sketi Wivu
 
Sikujua kama huyu jamaa ndiye mmiliki au mfadhili wa TMT ile wanayotafuta vipaji vya bongo movie Monalisa na wenzake. hawa jamaa wako familia nzima, wapo wawili waliiba mabilioni ya shilingi za EPA wana kesi pale kisutu.

Na wadogo zao wameiba pesa nyingi sana mgodi wa Geita. familia yao ina connection na mafia wa kenya, na ninasikia pesa za epa walienda kuzisafishia kenya hauwezi kuzipata hata siku moja.

Connection ya pesa ambazo wadogo zao wameibia wazungu wa mgodi wa Geita Gold mines wamezisafirisha kwenda kenya ambako kuna mafia wa kuzisafishia kwenye biashara za kikenya si rahisi kuwapora. sura zao ni za kinyarwanda na hakika yake, nchi hii inatakiwa kuwashughulikia.


Sura zao ni za kinyarwanda? unamaanisha nini,? fisadi ni fisadi tu,ila acha ubaguzi wa watu,huyo ni mhaya kutoka kagera,na wahaya wengi lazima watakuwa na mfanano kiasi fulani na jamii wanazo pakana nazo katika nchi jirani,rwanda,burundi ,uganda, sasa wewe ulitaka afanane na raia wa msumbiji,?

Tembea kidogo hapa nchini,utajua jinsi makabila mbalimbali yalivyo na uhusiano na jamii za mipakani za nchi jirani,fika mtambaswala,mtwara wilaya ya nanyumbu karibu na daraja la umoja,wenyeji wa pale wanaongea hata kileno,kuna machotara kibao wa kileno,je hao nao tuwatilie shaka?
 
unajua kama pesa walizoiba walikuibia na wewe pia?zaidi sana hawajaja kuwekeza tz wamezipeleka kenya? ungelijua ungenyamaza tu. kama mnataka nitaleta facts hapa mtachoka, hii ilikuwa ni kubip tu baada ya kumuona itv anatoa ile tuzo, sikutegemea kwamba angetokea mtu kama yule nikabaki kushangaa ndio maana nikaandika usiku uleule.

Usemayo nikweli ndg yangu nani alaumiwe? Ikiwa serikali yako uliyoipa dhamana ya kukutawala...Imeomba chenji tu kisha watu watu wanadunda mitaa mimi Raia ntakuwa nanini chakusema....Cmaanishi nafurahia huo wizi lkn wanaopaswa kulikomesha hili wanagonga nao MVINYO....naamini umenielewa hapo..
 
Hawa madogo wamefanya mengi ya maendeleo kuliko wahindi waliokwapua na kuweka India na Canada, ijapokuwa wameiba lakini kuna unafuu kidogo zimerudi kwenye mzunguko kama za manji na Yanga. Sio za jitu Tapel kuingiza power tiller fake huku ameiba mzigo wetu, za balali kubwa la maadui sijui anazitumia nani huko kwao USA ,

Kwa hili la Balali ndio hasara ya uraia pacha , anakwapua anaweka ukimbizini.

Mkuu ukianza kuulani uRAIA pacha kuna watu wanaweza kukula nyama..manake mambo aliyofanya Balali ndio wanayatamani...
 
Usemayo nikweli ndg yangu nani alaumiwe? Ikiwa serikali yako uliyoipa dhamana ya kukutawala...Imeomba chenji tu kisha watu watu wanadunda mitaa mimi Raia ntakuwa nanini chakusema....Cmaanishi nafurahia huo wizi lkn wanaopaswa kulikomesha hili wanagonga nao MVINYO....naamini umenielewa hapo..
hii familiia ya kina rwekaza ni hatari sana.
 
mkuu nilikuwa naangalia kipindi cha TMT jana usiku, walikuwa wanatoa zawadi ya milioni 50 mshindi wa wanaotaka kuwa waigizaji bora. binafsi nilifurahi sana kwamba kale katoto kalipata, lakini wakati muvi inaendelea alitokea mtu ambaye ninamfahamu kuwa ni mwizi wa epa na wadogo zake wamepiga wazungu mamia ya mamilioni. anaitwa Lwekaza, hawa walipiga bilioni karibia mbili na walizikimbizia kenya kesi yao bado inaendelea kisutu pale. wadogo zake kesi yao ilihamishwa toka geita imeletwa hapa dsm kwasababu wazungu waliokuwa wanapiga walikuwa wanapigia dsm kama centre. sasa nilishituka kuona mtu ninayemfahamu kuwa ni fisadi mkubwa, anakuwa ndio mgeni rasmi aliyetoa zawadi. au haujaelewa hadi hapo?

hivi ukiwa unatembea mtaani ukamwona mtu aliyekuibia pesa ananunulia watu pombe hauwezi kuja kuwaambia kuwa jamani yule mtu mwizinimemwona pale anagawa hela? unataka watu wasema kwasababu anatoa hela hata kama ni mwizi hamna shida kwasababu amenunulia watu pombe au amegawa hela? au ukitoa taarifa ya mtu mwizi unakuwa umetoa umbeya?

JF ni mahali ambako kuna watu wa kila kada
unapokuja hapa kujitapa kuwa umehusika kwenye upelelezi wa kesi ya mtu ambaye hata jina lake huwezikulitaja inashangaza.
Huyo jamaa anaitwa Johnson Lukaza na si Lwekaza kama ulivyoandika mengine ngoja nikuvutie kasi ila nakushauri punguza uongo
 
Pasco, actually sikuwa naleta umbeya hapa, nimeleta fact za kweli. huyu jamaa na kaka yake wana kesi ya kuiba bilioni kama mbili walizihamishia Diamond Trust tz na kenya, wakazisafishia kwa mafia wa kikenya. kesi yao ipo kisutu pale ya wizi wa mabilioni ya watz ukiwemo na wewe. kama umeiba mabilioni ukatoa milioni 50 hapo umefanya nini mzee, nilichokuwa nawaambia pia ni kuwalart watu, kwasababu wadogo zao hawa jamaa wanafanya kazi mgodi wa Geita gold mine, kesi yao ilianzishwa mahakama ya wilaya Geita kutokana na complication zake ikahamishiwa Dar es salaam inaendelea kushughulikiwa hapa dsm. ninaongea kitu ninachokijua kwasababu nilishakuwa mmoja wapo wa wanaoshughulika na upelelezi wa kesi hizi, hauwezi kuamini walichokifanya.

kuna kesi nyingine moja baada ya kuona wameiba mipesa, walinunua nyumba pale regency walipoona wanafuatwa wakaiuza.ni mafia mkifanya nao kazi kuweni makini na hata kama wanaleta hicho kipindi, wanajisafisha kwa raia tu lakini ukweli utabaki palepale milele kwamba wamekwapua mipesa mingi sana na lazima watatiwa hatiani muda si mrefu God willing.

kuhusu uhaya, sikusema kuwa hao ni wahaya! halafu, kwani mhaya akiiba tusimshughulikie, mchaga akiiba asishughulikiwe, au akiiba asishughulikiwe kwasababu ati wahindi wanaiba kwahiyo na wabobo waibe tu?
Sasa kama wana kesi kwanini usisubiri iishe,na kama waliiba GGM we zina kuuma nini?kwani ni za Watanzania?na wewe kwa kuandika hivyo unapendekeza nini kifanyike?yaelekea una beef nao binafsi na unataka kushirikisha watu wakuunge mkono
 
Mkuu PASCO niko na kaMCHINA nimeshindwa kukugongea lyk...Kiukweli cvyema kutetea wizi lkn anachofanya huyu Jamaa ameirudishia jamii kwa mlango mwingine tujiulize ni wangapi wanapiga kwenye nch hii na hakuna wanachorudisha sana sana wanapeleka visiwa vya JESSEY....

Huko kutoa hizo pesa ni njia ya kutayarisha mazingira ya kupata msamaha wa Rais kwa yale mapesa ya EPA waliokwapua. Kumbukeni kuwa hawa jamaa walikuwa karibu sana na Rais na mara nyingi katika safari zake za nje alikuwa anaambatana nao, hivyo wanachofanya sasa ni kurudisha baadhi ya hizo pesa kwa mlango wa nyuma li kesi yao ifutwe!!! Kesi za EPA zinazowahusu Lukaza brothers na Jeetu Patel hazisikilizwi mahakamani na zitapigwa tarehe mpaka mwisho wa utawala huu wakati wakina Maranda, Farijalla na Manase Mwakale wanaozea jela!
 
Huko kutoa hizo pesa ni njia ya kutayarisha mazingira ya kupata msamaha wa Rais kwa yale mapesa ya EPA waliokwapua. Kumbukeni kuwa hawa jamaa walikuwa karibu sana na Rais na mara nyingi katika safari zake za nje alikuwa anaambatana nao, hivyo wanachofanya sasa ni kurudisha baadhi ya hizo pesa kwa mlango wa nyuma li kesi yao ifutwe!!! Kesi za EPA zinazowahusu Lukaza brothers na Jeetu Patel hazisikilizwi mahakamani na zitapigwa tarehe mpaka mwisho wa utawala huu wakati wakina Maranda, Farijalla na Manase Mwakale wanaozea jela!

Nikweli mkuu so nani alaumiwe,,,!!!
 
Back
Top Bottom