IPTL yamdai Zitto bilioni 500 mahakamani

IPTL yamdai Zitto bilioni 500 mahakamani

Siyo tu ni kesi hewa bali huwa ni kesi za kuzuga na kupoteza dira. IPTL wametuibia bado wanawashitaki watu wetu!


Kweli ndugu yangu hawa jamaa wa Iptl wameamua kutunyanyasa sisi wenye nchi yetu,fedha zetu wamekwapua alafu ili kunyamazisha wenye kujua hujuma hizo wanawafungulia mashitaka mahakamani,Kumbe Robert Mugabe hakukosea kuwatimua hawa jamaa wanao jiita wawekezaji.
 
Mugabe mwanaume wa kweli aliyesalia km kiongozi Afrika. Mwizi anamwita mwizi haogopi rangi yake wala kubembeleza msaada wake. Tatizo letu mwizi akipanda ngazi na kutuibia tunamwita mjanja. Jeshi letu la kweli lililomkimbiza Smith, Mreno na Kaburu bila kupokea hongo au fedha zao limepotelea wapi ? Mbita kamanda wa ukweli hukutuachia hata 10 tu walinzi wa kweli wa Tz wamalize ujinga huu
 
Hii kesi ( kama kweli ni kesi ) haitaomba hata maji , itapotea haraka sana , ( MTU WETU HUYO )
 
Back
Top Bottom