Recent content by GOMASI

  1. GOMASI

    Hii Ndiyo Dawa ya Foleni kwa Jiji la Dar es salaam

    Tunahitaji sana mawazo ya msaada kwa watanzania na sio kujiona bora kuliko wengine. Kwa uzawa waenyeji wa Dar ni wazaramo. Kwa bahati katiba inaruhusu mtanzania kuishi mahali popote bila kuvunja sheria. Hilo ndilo la msingi. Kauli za namna hii zikiendekezwa zitaleta ubaguzi kama Afrika kusini...
  2. GOMASI

    Rais Kikwete asaini mswada wa sheria ya mitandao na kuwa SHERIA RASMI

    Hivi ni kweli kuwa miswada hiyo ya kakosa ya kimtandao na twakwimu imeshasainiwa? Na kama imeshasainiwa sisi kama wadau(waathirika) tunafanya nini kutoa ujumbe wetu?
  3. GOMASI

    Ndio Mitihani ya Dunia kuna masikini Matajiri basi yote ni Mipango yake Mungu

    Waswahili wanasema akinyolewa zako tia maji. Ukiona picha za kuonyesha masikini na mifumo yao ya maisha ya kila siku, inatakiwa iwe changamoto ili mwenyewe au familia yako isijeingia kwenye mkasa huo. Lakini pia unatakiwa uwe mwalimu mwema pia kwa wengine ili kuokoa hali ya namna hiyo...
  4. GOMASI

    Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Naomba mawazo yako muhusiana na kifo cha Mvungi. Ni kweli ni majambazi au ni siasa?
  5. GOMASI

    Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Lakini kofia ya chadema isiwe hoja. Vinginevyo kama lengo ni siasa. Nadhani taarifa ya usalama was polisi itaweka wazi.
  6. GOMASI

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaondolewa hivi madarakani

    Ninavyojua wabunge wa ccm, kwanza huwa wanashangilia sana wakati spika anapomlazimisha mbunge wa upinzani kukaa chini au kutoka nje. Na pia kipindi cha kutoa hoja, wabunge hawa ccm kujitahidi kuchangia hoja za upinzani kana kwamba hawa wa upinzani walioleta hoja ni watu wasio na akili. Kutokana...
  7. GOMASI

    Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini afariki dunia

    Ni majonzi sana kwa kanisa na jamii kiujumla. Alikuwa mtumishi kanisani, lakini pia alikuwa mwanaharakati wa maendeleo kwenye jamii. Nawapa pole sana familia ya baba askofu Laizer na pia ofisi ya KKKT. Mungu awape moyo wa subira na ujasiri wakati huu mgumu.
  8. GOMASI

    Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini afariki dunia

    Ni majonzi sana kwa kanisa na jamii kiujumla. Alikuwa mtumishi kanisani, lakini pia alikuwa mwanaharakati wa maendeleo kwenye jamii. Nawapa pole sana familia ya baba aakofu Laizer na pia ofisi ya KKKT. Mungu awape moyo wa subira na ujasiri wakati huu mgumu.
  9. GOMASI

    Wasanii kibao wamuimbia sharo milionea-click here kuisikiliza &ku download

    Wasanii wa Tanzania hili ni pigo lingine kwao na kwa watanzania wote. Je! ni mpango wa Mungu wasanii kupukutika hivi? Nadhani ni wakati sasa wasanii kukaa chini kutafakari juu ya haya matukio walau ya mwaka huu tu.. wajaribu kuangalia kuna tatizo gani kati yao wenyewe, lakini pia kati na Mungu...
  10. GOMASI

    TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    Mr. Ebbo hatunaye tena duniani! Ni masikitiko makubwa sana kumpoteza mwanaharakati wa muziki kama Mr Ebbo. MuzikI wake ulivutia, kufundisha, kuonya, kudumisha mila na utamaduni. Ni mwakilishi wa wamasai kwenye uwanja wa muziki lakini pia hata Tanzania nzima hasa pale tunapozungumzia muziki nje...
  11. GOMASI

    Namsikitikia, He was my boyfriend

    I wonder now days students! you have gained even the confidence to write to the public all filth you were doing at school. It reflects all stupidiyt you have and how you have beeing bulding up on it. I wish now to advise at least to those who can listen and understand, that what brought them to...
  12. GOMASI

    Uhujumu wa mali za asili Tanzania

    Nimepata habari kutoka gazeti la Raia Mwema la wiki hii kuhusiana na habari za uhujumu wa uchumi kwenye wizara ya maliasili. Habari hii kutoka ndani ya moyo wangu imenihuzunisha sana kama sio kunitia kichefuchefu. Ndio maana nimeamua nitapikie bakuli hili la jamii forum. Watanzania wenzangu...
  13. GOMASI

    Tunataka siasa yenye matunda!

    Watanzania tumechoshwa na siasa ya danganya toto, tunataka mabadiliko ya ukweli na sio siasa ya kufurahisha na kunufaisha wachache kama wenzetu wanavyofanya sasa hivi. Kwa mfano kampeni za Tanzania wakati wa chaguzi za viongozi wa taifa utawasikia wagombea wakitoa ahadi kedekede na nyingine...
  14. GOMASI

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Yote haya yanayotokea UDOM kabla sijalaumu naangalia ni nani anayestaili pongezi na ni nani anayestaili kukosolewa na kukimbiwa kama sio kuonywa kwa dhati kabisa. Nawahurumia sana wadogo zangu wa Udom kwa kujionyesha sana kuwa mnaweza na mnaijua siasa kumbe hata definition ya siasa hamuijui...
  15. GOMASI

    Hi, am a new member!

    Hello my fellow Tanzanians! I have to thank you on how you showed sense during balloting and for a proper utilisation of your voting right and duty. I did not expect people to turn out in balloting as it did in 2010 general elections. I drew my attention again that we can and we can surpass...
Back
Top Bottom