Wasanii kibao wamuimbia sharo milionea-click here kuisikiliza &ku download

GOMASI

Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
15
Points
0

GOMASI

Member
Joined Jan 7, 2011
15 0
Wasanii wa Tanzania hili ni pigo lingine kwao na kwa watanzania wote. Je! ni mpango wa Mungu wasanii kupukutika hivi?
Nadhani ni wakati sasa wasanii kukaa chini kutafakari juu ya haya matukio walau ya mwaka huu tu.. wajaribu kuangalia
kuna tatizo gani kati yao wenyewe, lakini pia kati na Mungu. Mimi nahisi kuna tatizo kidogo. Inasikitisha sana kuona vijana wadogo namna hii kupoteza maisha kila kukicha. Na kibaya zaidi ni pale tunapoona vijana wa miaka 20+ tu ndio wanaopoteza maisha. Kwa mfano, Kanumba alifariki na miaka 28, Sharo amefariki na miaka 27, wengine sina uhakika na umri wao, naomba wadau wengine manisaidie kuchunguza. Jamani wasanii kuna nini????????????????????
 

Forum statistics

Threads 1,389,515
Members 527,939
Posts 34,027,047
Top