Recent content by Golden dust

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mimi naogopa mahusiano?

    Tatizo mnapenda watu ambao sio level zenu.!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Lionel Messi: The undisputed Greatest of All Time (GOAT) at the 2026 FIFA World Cup!

    messi mechi 2 goli 5 man of the match mara 2. mfungaji bora wa muda wote wa kombe la dunia..! uchovu wake upi hapo?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Lionel Messi: The undisputed Greatest of All Time (GOAT) at the 2026 FIFA World Cup!

    watu wanaojua mpira wanapozungumza unatakiwa ukae kimya..! huna unachojua
  4. G

    JamiiForums Tanzania Lionel Messi: The undisputed Greatest of All Time (GOAT) at the 2026 FIFA World Cup!

    Messi ndo mpira wenyewe..!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Naomba anaejua Chuo cha Mitambo (Skaveta, Greda na Rola)

    Nenda veta ya chang'ombe pale keko wanatoa izo kozi.!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi, ndani ya miezi miwili nipate milioni 1

    Kazi gani ngumu labda kwa mfano yenye maslahi mazuri?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Majina ya hawa watoto waliouliwa…..

    Hili tukio ndio lilidhihirisha dhahiri kuwa viongozi na serikali yao haipo kwa ajili ya wananchi..!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nilivyozikimbia Mbususu

    ufilipino mashoga huwez kuwajua kwa kuwaangalia tu labda wakuvulie nguo ndo utawagundua.!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hii ni Hali ya kawaida au Kuna Tatizo sehemu

    Mara nyingi inakuaga ni ndoto ambazo ulishaziota kipind cha nyuma katika mazingira hayo,kwaio unakuja kuyaona matukio hayo ulioyaota siku za mbeleni.. ni jambo la kawaida tu..!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Watu waliotajwa zaidi kwenye nyimbo za kikongo

    Joseph kambala.!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tujuzane printer nzuri kwa ajili ya kazi tofauti tofauti

    Xerox achana nazo kabisa izo hazina mafundi ikiharibika mchezo umeisha.na iyo bizhub c 284 ni ndogo sana na haina quality nzuri labda utumie kuprint karatasi za normal paper kama vile gsm 70,80 au 135 na sticker za kawaida labda na kutoa copy za rangi au black and white.ukitumia gram ngumu kama...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tujuzane printer nzuri kwa ajili ya kazi tofauti tofauti

    Hizi canon ni nzuri na zinaquality nzuri sana tatizo kwenye vifaa vyake ndo shida ilipo hapo.mafundi wake ni wachache sana ikitokea imeharibika itakubid umsubir fund kutoka kwao wenyew waliokuuzia ndo aje akutengenezee.vifaa pia ikiwemo wino unanunua kwao wenyew.shida inakuja wino umeisha au...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tujuzane printer nzuri kwa ajili ya kazi tofauti tofauti

    konica minolta bizhub ziko vizuri sana ila inategemea unataka ya ukubwa gan?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Tujuzane printer nzuri kwa ajili ya kazi tofauti tofauti

    izo karatasi zako unataka kuzikata kwa mtindo upi? maana kuna utofaut katika mtindo wa ukataji.
Back
Top Bottom