Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,006
- 288,272
Namaanisha Majina ya Marehemu wote Nchi nzima yashawasilishwa kwenye Taasisi fulani ya Watu wa Mungu pamoja na picha zao wakiwa haiMajina ya hao watoto ni nani?
Bila shaka hata Hawa wamo
Namaanisha Majina ya Marehemu wote Nchi nzima yashawasilishwa kwenye Taasisi fulani ya Watu wa Mungu pamoja na picha zao wakiwa haiMajina ya hao watoto ni nani?
Atawajuaje kwani yeye ni msudani?Majina ya hao watoto ni nani?
Wao wanadhani yamepita, yamekwishaKwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake.
Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua.
Kila mara wamekuwa wakitoa kauli za kikatili na za kutojali.
Sasa basi, mimi binafsi, kibinadamu nimeguswa sana na hayo mauaji.
Kuna watoto wengi pia ambao waliuliwa. Mpaka leo sijawahi kuona popote pale majina yao.
Watoto hao walikuwa ni binadamu. Hawakuwa mbwa wasio na mwenyewe au mapaka shume wasio na makazi sehemu.
Wale walikuwa ni binadamu kama mimi na wewe.
Sijaona mtu wala taasisi yoyote ile ikiwazungumzia watoto hawa na kutetea ubinadamu wao na haki yao ya kuishi waliyony’ang’anywa.
Mimi najitolea kwa kuanza kuuliza kwanza hao watoto ni akina nani? Lazima walikuwa na majina. Wanaitwaje?
Huyu alikuwa anaitwa nani? Alikuwa anakaa wapi? Alikuwa na umri gani?Ndugu zake ni akina nani na wako wapi? Alizikwa wapi?
View attachment 3597783
Huyu naye alikuwa anaitwaje? Ni wa wapi? Umri wake? Wazazi wake ni akina nani? Na wako wapi? Alizikwa wapi?
View attachment 3597784
Kuna huyu pia. Huyu kuna clip inamwonyesha kabisa akiwa ndo anavuta pumzi zake za mwisho huku akinyoosha mikono yake kana kwamba anaomba msaada flani.
Alikuwa anaitwa nani? Umri wake? Alizikwa wapi? Nduguze ni akina nani?
View attachment 3597786
JF ni uwanja mpana. Inatembelewa na watu wengi sana.
Kwa mnaojua chochote kuhusu hao watoto na wengineo, changieni chochote mnachokijua kuhusu wao.
Haya hayaishi leo wala kesho!Wao wanadhani yamepita, yamekwisha
Wamerudi kabisa katika maisha yao ya kawaida
Hawajui tumeyabeba kifuani
Utawezaje kusahau unyama kama huu?Hii ngoma Bado mbichi sana, wanaforce watu wasahau ila haiwezekani.
Damu ya mtu ni kitu hatari sana
Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake.
Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua.
Kila mara wamekuwa wakitoa kauli za kikatili na za kutojali.
Sasa basi, mimi binafsi, kibinadamu nimeguswa sana na hayo mauaji.
Kuna watoto wengi pia ambao waliuliwa. Mpaka leo sijawahi kuona popote pale majina yao.
Watoto hao walikuwa ni binadamu. Hawakuwa mbwa wasio na mwenyewe au mapaka shume yasiyo na makazi sehemu yoyote.