Recent content by Gogle

 1. Gogle

  Pentagon yakiri wanajeshi wao 50 wamejeruhiwa katika shambulizi la Iran

  Dada Faiza, si sawa kusema "moja ya shirika kubwa..." Ungesema "moja ya mashirika makubwa..." Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Gogle

  Kuna rekodi kuvunjwa haiwezekani kabisa

  Nyengine hizi hapa
 3. Gogle

  Kwanini serikali hupeleka kesi kwenye mahakama zisizokuwa na uwezo wa kuzisikiliza?

  Asante mkuu kwa ufafanuzi, ila bado naona kuna ukakasi kuhusu utaratibu hiu
 4. Gogle

  Kwanini serikali hupeleka kesi kwenye mahakama zisizokuwa na uwezo wa kuzisikiliza?

  Habari zenu wakuu, Mara nyingi nimesikia kwenye habari "Hakimu amemtaka mshtakiwa kutojibu chochote kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo". Sasa najiuliza kwanini serikali imepeleka kesi hiyo kwenye mahakama isiyo na mamlaka nayo. Je hawakujua kwamba mahakama...
 5. Gogle

  Game gani, na upo level gani kwenye simu?

  Ajitokeze yeyote alienizidi points kwenye subway suffer nampa 10,000 tsh.
 6. Gogle

  Game gani, na upo level gani kwenye simu?

  Bro, mimi 50.8 million,
 7. Gogle

  Game gani, na upo level gani kwenye simu?

  Nimefikisha 50.8m kwenye subway suffers
 8. Gogle

  Utabiri Mwaka 2069: Nyumba za Kujifagia, Maghorofa ya Chini ya Ardhi!

  Mkuu unajua kuhusu jetpack? Kucheza michezo angani wala haitafika hiyo 2069 kwa modification ndogo tu kwenye jetpack
 9. Gogle

  Mkasa wa kweli: Kazi za ndani nchini Oman zilivyonikutanisha na kifo

  Hii hadithi sio ya kweli, msimuliaji hajui chochote kuhusu Oman wala kuhusu usafiri wa ndege. Oman hakuna magorofa makubwa kama anavyoeleza, anasema kapanda fly emirates then mojamoja kashukia muscat, huo ni uongo, fly emirates ingeshuka dubai kwanza. Na wafanyakazi wa ndani kutoka dar kwenda...
 10. Gogle

  Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

  Mwalimu Wadi, mtendeni primary school Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Gogle

  Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?

  Kuna ukweli nauona hapa Sent from my iPhone using JamiiForums
 12. Gogle

  Ni adhabu gani bunge linaweza Kumpa CAG

  Ndio mkuu, kwa vile ameuliza nikaona ni ustaarabu kumfahamisha Sent from my iPhone using JamiiForums
 13. Gogle

  Ni adhabu gani bunge linaweza Kumpa CAG

  Kwani CAG anahudhuria vikao vya bunge? Sent from my iPhone using JamiiForums
 14. Gogle

  Ni adhabu gani bunge linaweza Kumpa CAG

  Spika amemwita CAG mbele ya kamati ya bunge baada ya CAG kunukuliwa akisema bunge ni “dhaifu” Sent from my iPhone using JamiiForums
Top