wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,866
Baba wa demokrasia duniani huyo.Hayo mataifa mengine ni yapi? Usiniambie China pia anaunga mkono Russia maana yeye kule UN alimute.
Baba wa demokrasia duniani huyo.Hayo mataifa mengine ni yapi? Usiniambie China pia anaunga mkono Russia maana yeye kule UN alimute.
Vipi US/NATO walipata silaha za maangamizi Kule IRAQ? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mm nmeona Putin kama mbinafsi Sana kushambulia watu na kuwaua akisema eti operation maalumu ya kijeshi ya kuwaokoa wanyonge wanaoteswa na serikali ya Ukraine.
HATA kama akili hauna huwezi kuona hapa Kuna kitu ambacho Ni against humanity.
Kuna mchangiaj hapa ana tumia udini kuelezea hi Vita ata Kama ningekuwa mm cwezi mruhusu baadhi ya Arabic kumiliki sirahakm.za biological. Ni sawa na kumkabizi mtoto kuchezea kiberiti anytime unawaka Moto. Akili zao wanazijuaga wenyewe.
Nakubaliana na wewe Mkuu, muda utaongea.Putin alishindwa kuelewa kwamba mataifa yaliyoonesha sapoti mwanzo yalionesha sapoti sio kwa sababu ya kumvamia ukraine laaaaa hapana.
Bali walimpa sapoti kutokana na vitosho vya nato na marekani.
Kwa hiyo sidhani kama kuna taifa kubwa litaonesha hadharani kusapoti mashambulizi ya mrusi dhidi ya ukraine.
Kila mtu anafahamu kwamba ukraine hana ubabe wa kumpiga mrusi so ni ubakaji anaofanya mrusi kwa ukraine.
Ila tusibiri tuone mkuu.
Kabisa Mkuu,angalia flow yake tangu mwanzo,ukiona members kama kina Kichuguu wanachangia mada,huwa najifunza vitu vingi sana, hata wale Pro Putin wanaweka hoja zao vizuri kabisa,bahati mbaya sana hawa wenye petty comments huwa wanawafanya watu wenye uelewa mkubwa wa mambo waache kuchangia,matokeo yake thread inaharibika kama ile ya Live imekuwa thread ya hovyo sana,hakuna cha maana unakipata tena kule.Hawa ndio wanaharibu mijadala.
Sisi tunajadili bila upenzi wowote hapa,tumekimbia nyuzi zao za kishabiki.
Huu uzi tulitaka kuuepeleka smoothly kabisa ila wanataka kuharibu.
Binafsi nataka kujifunza zaidi kuhsu hii vita ila huu ushabiki umekuwa mwingi.
Mkishaingia pro russia lazima muharibu uziPropaganda kazini.View attachment 2186764
Kumbe uliniwahi mkuu, jamaa wakiingia tu wao, uzi wote unaparaganyika.Mkuu unataka kuharibu huu mjadala na hizi petty comments zako.Umekuta watu wanajadiliana kwa kina unataka kuharibu flow ya thread,rudi kule kwenye 'Live' ukaflood hizi comment zako please.
Huwezi nikutaka mimi nawajibu hawa, huwezi nikuta nikifanya hivyo daima. Hata wakireply kwangu huwa siwajibu kabisa. Fanya hivyo mkuu, utaona faida yake.Mtu mzima ku act utoto kiasi hiki ni aibu sana.Kukukalia kimya nadhani ndiyo jibu sahihi,go ahead Sir.
Kama hawatawakamata waliomnyonga sadam kwa tuhuma za uongo, hawatawashtaki waliopiga bomu iliyokua Yugoslavia, basi hakuna wa kumkamata putin, wanapoteza muda tu.Exactly na ndiyo maana kwa sasa Putin ndiyo mvamizi,nilikuwa naangalia jana Aljazeera,team ya War Criminal presecutors wapo Bucha kushuhudia kile majeshi ya Russia yalikifanya wakati ule mji ukiwa chini yao.Ni swala la muda tu lakini huko mbeleni pana mtu mwisho wake utakuwa kama wa Slobodan Milosevic
Nachukua ushauri wako MkuuHuwezi nikutaka mimi nawajibu hawa, huwezi nikuta nikifanya hivyo daima. Hata wakireply kwangu huwa siwajibu kabisa. Fanya hivyo mkuu, utaona faida yake.
Naam kazi yetu Ni kupambana na propaganda zenu za hapo Kiev ya maganzo.Mkishaingia pro russia lazima muharibu uzi
Na ndio maana ya demokrasia mnayoililia kila siku,tutaingia popote,Muda wowote.Kumbe uliniwahi mkuu, jamaa wakiingia tu wao, uzi wote unaparaganyika.
😁😁😁 akili kama za yule Comedian wenu.Huwezi nikutaka mimi nawajibu hawa, huwezi nikuta nikifanya hivyo daima. Hata wakireply kwangu huwa siwajibu kabisa. Fanya hivyo mkuu, utaona faida yake.
Serbia na Kazakhstan Kama sijakosea wameshatangaza kuwa walishinikizwa na Marekani, hao ni waliokiri hadharani vipi ambao hawawezi kuongea kwa kuogopa ubabe wa Marekani.!Mkuu matokeo yalikuwa Nchi 141 zilipiga kura ya kuunga mkono, nchi 5 zilipinga na Nchi 35 tu ndiyo zilizokataa kupiga kura ambao ni unafiki wa kutokutaka kuharibu pande zote wakiongozwa na China.Sasa hizo Nchi 'nyingi' unazosema zilikataa ndiyo hizi 35?
Hawa waukraine unadhani hua Wana akili Basi?Ni Kama mazombie flani hivi.Kama hawatawakamata waliomnyonga sadam kwa tuhuma za uongo, hawatawashtaki waliopiga bomu iliyokua Yugoslavia, basi hakuna wa kumkamata putin, wanapoteza muda tu.
Hatuwezi kwenda na maneno matupu ya 'nchi ililazimishwa' hata Putin huo utetezi hawezi kuukubali,sisi tunaangalia kile kilichopo kwa record,hizo Nchi zilipinga uvamizi wa Russia Ukraine na ipo kwenye record na China alikaa kimya akamwacha solemba rafiki yake.Serbia na Kazakhstan Kama sijakosea wameshatangaza kuwa walishinikizwa na Marekani, hao ni waliokiri hadharani vipi ambao hawawezi kuongea kwa kuogopa ubabe wa Marekani.!
Sababu ili utoke Ukraine uende Russia inabidi upitie Maneneo ambayo kuna wa ukraine wanao ongea kirusi, na wa Ukraine wanao ongea kirusi wapo Against na serikali ya sasa maana ilikuwa ikiwaua na kuwatenga, hivyo wamejiunga na Urusi na wanapigana na serikali ya Ukraine.
Angalia hii ramani
![]()
Hao kina Donetsk na Luhansk walikuwa wanapigana na Serikali ya Ukraine hata kabla Mrusi hajavamia, na Eneo Jengine kama Kharkiv Tayari limezungukwa na Urusi, Bandari Pia Zimechukuliwa.
Upo huru mkuu kuping kwa Facts.Mkuu nakukubali sana kule tech and gadgets, heshima kwako, hapa unepuyanga!
Hata hawajali watu wasio na hatia bali wanapima kama vita itawagharimu sana au la. Ingekuwa wanajali watu wasio na hatia wasingekuwa wanavurumisha mabomu huko middle eastUkweli ni kwamba so NATO na USA hawawezi kuivamia Russia moja kwa moja...!
Wanachohofia wao na ambacho hawataki kitokea ni kwamba endapo wataivaa Russia au kuingia Vitani Ukraine moja kwa moja, inakwenda kutokea Vita Kuu ya 3 ya Dunia, ambapo Watu wengi zaidi wasio na Hatia watapoteza Maisha kuliko sasa hivi...!
Vita hivi tu vya Ukraine vimesababisha hari ya Uchumi kwa nchi Masikini kama Tanzania kutetereka, Mafuta yamepanda Bei na gharama za Maisha zimepanda!
Sasa hari itakuaje ikitokea Vita ya 3 ya Dunia...!?
Thats why nchi za Ulaya na USA wanatoa tu msaada wa Vifaa vya kivita bila kujiingiza moja kwa moja...!
Waasi wapo toka 2014, na kama wangekuwa hawapo against na serikali ya sasa vita vingeisha muda tu.Serikali ya sasa imeingia madarakani 2019 ila hao wa ukraine wa mashariki walianza mapigano hata kabla ya awamu hii , pili serikali ilikuwa inawadhibiti waasi so rekebisha kauli yako ya kuua raia , huko mashariki upo mgawanyiko waukraine wengi wanauunga mkono serikali ila wale wanaoongea kirusi ndio ttzo maana wanatumika na Putin kuigawanya Ukraine